Hapa nipo mitaa fulani ndani ndani huku mbezi na ninakamu hii maneno, muuzaji anadai wateja wamepungua sana kipindi hiki

Teh teh teeh vaa miwani mkuuMimi naona ndizi,mchicha na vipande vya nyanya tu hapo
Karantini umesema ipo Dar au Mbeya na Iringa? lakini hapa ni daslamu mkuuKarantin imepigwa mbeya na iringa utaugua ww mafua ya nguruwe
Hapa nipo mitaa fulani ndani ndani huku mbezi na ninakamu hii maneno, muuzaji anadai wateja wamepungua sana kipindi hiki
View attachment 34951
inamaanisha wateja wakubwa wa hii kitu hawa hudhurii kwa sasa sijui kwaniniUnaposema wateja wamepungua kipindi hiki yani tukuelewe vipi?
Ha haaa mkuu ingawa kunaukweli lakini nachelea kukiri hivyo nisije nikashambuliwa na wenyeweNguruwe mtamu usiambiwe bana.
Duh mkuu nimekubali wewe mtaaluma wa hii habari, itakuwa haina uhondo kukamata hii maneno bila kimiminika cha kushushia, kilikuwepo pembeni sema wakati nafotoa kimeo changu cha mchina kilikonsetreiti kwenye mbogaBado hujakamilisha utamu wenyewe!mbona hakuna kimiminika chochote mkuu?

mkuu hiyo kama sio kimara itakuwa vingunguti halafu mwezi mkuu ushaanza kunihatarishia swaumuh yangu..

Astaqafilah..
Hapa nipo mitaa fulani ndani ndani huku mbezi na ninakamu hii maneno, muuzaji anadai wateja wamepungua sana kipindi hiki
View attachment 34951