SAGAI GALGANO
JF-Expert Member
- Nov 13, 2009
- 43,707
- 60,760
Hapa nipo mitaa fulani ndani ndani huku mbezi na ninakamu hii maneno, muuzaji anadai wateja wamepungua sana kipindi hiki
View attachment 34951
Wapi MS, FF, Muhadhiri, Ngwendu, Nduka na wengineo tujumuikeni jamani tule kiti moto kwa raha zetu.