LordJustice1
JF-Expert Member
- Jan 19, 2011
- 2,263
- 530
Kimwingiacho mtu hakimfanyi kuwa najisi ila kimtokacho! (Mk. 7:15).Umenikumbusha enzi zetu YESU akioona hiyo kitu anaitupia PEPO WACHAFU! Usijekuta ndo side efect ktk hii generation!
Kimwingiacho mtu hakimfanyi kuwa najisi ila kimtokacho! (Mk. 7:15).Umenikumbusha enzi zetu YESU akioona hiyo kitu anaitupia PEPO WACHAFU! Usijekuta ndo side efect ktk hii generation!
Hapa nipo mitaa fulani ndani ndani huku mbezi na ninakamu hii maneno, muuzaji anadai wateja wamepungua sana kipindi hiki
View attachment 34951
Mkuu ubarikiwe sana kwa neno lako lenye wingi wa hekhma na busaraKimwingiacho mtu hakimfanyi kuwa najisi ila kimtokacho! (Mk. 7:15).
Naam shekh wangu hapo umenenaHata Quran Tukutu inaruhusu hii kitu, ila tahadhari ni kwamba "usizidishe kiasi!"
Mkuu umesomeka uzuri ,ntalizingatia hilo next timeSiku nyingine usile mandizi mengi hivyo!!!
weka 1Kg, ndizi mbili na mchicha wakutosha!
Hakikisha una kitu cha Ballentine pembeni, na maji bardiii.....najua hapo hakuna ice