Asikudanganye mtu bana hii kitu ni tamu balaaaa

Paul S.S

JF-Expert Member
Aug 27, 2009
6,402
3,242
Hapa nipo mitaa fulani ndani ndani huku mbezi na ninakamu hii maneno, muuzaji anadai wateja wamepungua sana kipindi hiki
KITIMOTO.jpg

Hapa nipo mitaa fulani ndani ndani huku mbezi na ninakamu hii maneno, muuzaji anadai wateja wamepungua sana kipindi hiki

Karantin imepigwa mbeya na iringa utaugua ww mafua ya nguruwe

Bado hujakamilisha utamu wenyewe!mbona hakuna kimiminika chochote mkuu?
Duh mkuu nimekubali wewe mtaaluma wa hii habari, itakuwa haina uhondo kukamata hii maneno bila kimiminika cha kushushia, kilikuwepo pembeni sema wakati nafotoa kimeo changu cha mchina kilikonsetreiti kwenye mboga

mkuu hiyo kama sio kimara itakuwa vingunguti halafu mwezi mkuu ushaanza kunihatarishia swaumuh yangu..

Astaqafilah..

Eeeh bana eeeeeh kitu imesimama si mchezo!! mbuzi katoliki huyoooooooooooooooooooooooooooooo

Alooo umenitamanisha kinoma ngoja niende na mimi nikajipatie kitu murua plus castel bariiiiiidi

mkuu hiyo kama sio kimara itakuwa vingunguti halafu mwezi mkuu ushaanza kunihatarishia swaumuh yangu..

Astaqafilah..

Pale ni safari resort; wanafuga wenyewe na ndizi wanalima Boko.

mbona chakula kingi hivyo
hakuna bajeti?
umasikini huu unaletwa na tumbo

Back
Top Bottom