AshaDii=The Pied Piper of Hamelin................

kuna watu walimwonea kijicho sana........................wakamuita majia lakini nilimshauri asikate tamaa........................kwa nini dunia ina nyuso kebekebe...............................Congratulations Ashaadii.................I share these views.............

Rutashubanyuma.... Thank you dear... One of my Great friends...

ufafanuzi hapa wahitajika.............................ili na wengineo tulioburudika tu na makala zake bila ya kuzifanyia kazi kwenye maisha yetu tuweze kunufaika pia................. ..

Alafu nawee upunguze ukorofi Rutah....lol
 
Wooow!!

Me too am fond and proud of our lovely-lovely Asha Dii! If she has a twitter account, I won't hesitate to follow her...

Steve Dii.

Stevie Dii... ( my alter ID to some...lol...) Yaani sijui whats it with AshaDii
with alter IDs...lol... Umepotea saana hapa Jamvini.... Miss you broda and
hope you are well and good...

Thank you for your post... AshaDii is enchanted...
 
Hata mimi ni mmoja wa wanaomkubali huyu dada.. swaumu Njema Da Asha!

Mayasa your post means a lot to me... for wee ku post kwa kweli ni adimu saana....
Hivo mpaka you have made the effort you mean it.... THANK YOU Dear...
Mimi nakukubali pia dear.. Na swaumu Inshallah tunaenda hivo hivo mdogo mdogo..

BTW yule mchumba ulijinadi umepata JF bado nasubiri Card ya harusi uloniahidi....lol
 
Hahaaa hapo kwenye red Da Asha yaani husahau!... Endelea tu kuniombea Inshallah kadi utapata! Kweli dada nashukuru kama umegundua kama mimi pia ni mmoja wa wanaothamini michango yako! Tuko pamoja usijali..
 
Mayasa wee sio mchangiaji... but mara nyingi katika thread zangu hua lazima upost kitu - and i never forget mtu achangie thread yangu iwe kwa mazuri ama kwa mabaya... nikiona jina lako nakumbuka kijana Steve Dii alikukosa padogo sababu ya Avatar yake ya yule dogo....lol...(bora alibadilisha maana saizi anamvuto incase ukibadili mawazo)...

And of course i will pray for you...
 
Ameen Da Asha, mwenzangu ile Avata ya Steve Dii ilikuwa balaa.. Yaani ilikuwa nikiitizama ile avata na kale ka-tshirt arghhh yaani nawaza hivi ndo napata mume wa dizaini hiii lol.. Bora aliligundua hilo akachukua hatua..
 
ha ha ha... Ya saizi umeiona lakini?? Yaani inam paint kama kaokoka vilee....lol
 
Nimeiona, hahaaaa eti kama kaokoka vile! labda inawezekana..

Nahisi hivo... itabidi tumuulize... au kama si hivo yule mchumba alikua anatafuta JF kishampata (isije ikawa wee alafu huniambii...lol)
 
What a lovely lady !!! Credit should be given where it deserve..in this forum of bickerings, backstabbers,stinging comments, jokes,and overtly selfshis views and ofcourse unselfish ones...AshaDii is a sprout of a lily... I dare say!
 
Ameen Da Asha, mwenzangu ile Avata ya Steve Dii ilikuwa balaa.. Yaani ilikuwa nikiitizama ile avata na kale ka-tshirt arghhh yaani nawaza hivi ndo napata mume wa dizaini hiii lol.. Bora aliligundua hilo akachukua hatua..

Mayasa, Mayasa, weee Mayasa mwenye uzuri wa kuzaliwa nao!!! Kwa mara ya kwanza kabisa hapa mtandaoni ninakiri kwamba, ni wewe uliyenipelekesha mbaliii katika mawazo yangu hata kuamua kubadili avatar yangu. Ninai-miss, hilo siwezi kuficha, maana ile avatar ilibeba mengi kuhusiana na tulikotoka hapa JF, enzi za kina Brazameni na Kada Mpinzani. Dogo kwenye ile picha anaitwa Fikirini. Nikiipata link nitakuwekeeni hapa mjue ilitoka wapi... Hata hivyo uamuzi niliouchukua baada ya ile comment sijutii hata kidogo. I'm now Hope. I represent hope! Ila naona AshaDii anaanza kuifananisha na waimba mapambio kwenye matent... mmmh :suspicious:
 
What a lovely lady !!! Credit should be given where it deserve..in this forum of bickerings, backstabbers,stinging comments, jokes,and overtly selfshis views and ofcourse unselfish ones...AshaDii is a sprout of a lily... I dare say!

That coming from my fellow lady... i am deeply and intensively humbled... Thank you

Nsiande reagards to your beautiful gals...

Pamoja saaana
ADI
 
Mayasa, Mayasa, weee Mayasa mwenye uzuri wa kuzaliwa nao!!! Kwa mara ya kwanza kabisa hapa mtandaoni ninakiri kwamba, ni wewe uliyenipelekesha mbaliii katika mawazo yangu hata kuamua kubadili avatar yangu. Ninai-miss, hilo siwezi kuficha, maana ile avatar ilibeba mengi kuhusiana na tulikotoka hapa JF, enzi za kina Brazameni na Kada Mpinzani. Dogo kwenye ile picha anaitwa Fikirini. Nikiipata link nitakuwekeeni hapa mjue ilitoka wapi... Hata hivyo uamuzi niliouchukua baada ya ile comment sijutii hata kidogo. I'm now Hope. I represent hope! Ila naona AshaDii anaanza kuifananisha na waimba mapambio kwenye matent... mmmh :suspicious:

ha ha ha... No bana... ila inaonesha wakovu... What do you expect with those cute angels parts....
 
Mayasa, Mayasa, weee Mayasa mwenye uzuri wa kuzaliwa nao!!! Kwa mara ya kwanza kabisa hapa mtandaoni ninakiri kwamba, ni wewe uliyenipelekesha mbaliii katika mawazo yangu hata kuamua kubadili avatar yangu. Ninai-miss, hilo siwezi kuficha, maana ile avatar ilibeba mengi kuhusiana na tulikotoka hapa JF, enzi za kina Brazameni na Kada Mpinzani. Dogo kwenye ile picha anaitwa Fikirini. Nikiipata link nitakuwekeeni hapa mjue ilitoka wapi... Hata hivyo uamuzi niliouchukua baada ya ile comment sijutii hata kidogo. I'm now Hope. I represent hope! Ila naona AshaDii anaanza kuifananisha na waimba mapambio kwenye matent... mmmh :suspicious:
Jamani kumbe ile avatar ilikuwa na historia.. lakini sio mimi ni Asha Dii ndio alianzisha na mie nikakandamiza kabisa! hahaa.. Kama hujutii kuibadili basi powa, ujumbe ulifika kumbe lol!
Asha Dii kuifananisha hii avatar mpya na waimba pambio si vibaya.. hata nao huwa wana represent hope! Naisubiri hiyo link ya Dogo Fikirini kwa hamu..
 
Back
Top Bottom