Hii inasikitisha, nimesoma kisa chote hadi mwili umenisisimka. Kweli mapenzi ni hatari.
Unachosahau ndugu yangu ni kuwa, hii ni kesi ya mauaji na wala si ya mapenzi. Yawezekana ni kweli mwanaume ndio alisababisha jambo hili litokee lakini mwisho wa siku aliyeua ndio mwenye hatia!!Inasikitisha kwa kweli. Sheria nayo haiko fair,kwa nini chanzo cha yote hayo(wanaume) hawaguswi?
kesi kama hii na ya mume wa josephine kwa upande wa pili wa shillingi zinaumana. Hii ilikuwa ni mwanamke kuingilia ndoa na josephine na slaa ni ya mwanamme kuingilia ndoa! Likitokea la kutokea siku ya siku, tusiseme tulikuwa hatujui.
Kesi kama hii na ya mume wa Josephine kwa upande wa pili wa shillingi zinaumana. Hii ilikuwa ni mwanamke kuingilia ndoa na Josephine na Slaa ni ya mwanamme kuingilia ndoa! likitokea la kutokea siku ya siku, tusiseme tulikuwa hatujui.
Asante kwa kesi hii ndefu, nimeipitia kwa haraka haraka ila nitaisoma vizuri jioni nikiwa nimetulia.
Kuna ya mama Liundi pia, aliua watoto sababu ya wivu wa mapenzi pia. Wanaume kama kawaida yenu chanzo cha matatizo.