Nsiande
JF-Expert Member
- Jul 27, 2009
- 1,649
- 872
Hivi mpaka leo kesi ya mauaji kuna kuwa na jury wawili tu?
Inashangaza sana kuwa Happiness amekubali kwenda kwa Asha, licha ya kuwa alikuwa akimchukulia mume wake ....
mimi kitu kingine kinachonishangaza kwenye kesi hii, huyu Happy hakuwa na ndugu labda ambao wangekuwa wanamtafuta hajarudi nyumbani, sambamba na labda kuripoti polisi, maana pengine houseboy asingesema, ina maana haya yote yasingejulikana ?
huyu dada alishafungua kesi kuwa anatishiwa maisha, hakuwa ameongea na labda hata nduguze ili hata yakimkuta ya kumkuta mtu mwingine aweze hata kumtafuta... its a bit strange..