Asanteni sana Kigoma-Dr Slaa.

Wana jamvi hili jina la simba
Alilopewa na wanakigoma lina maana sana kuelekea kuchukua Dola kutoka kwa maccm hongera sana wana kigoma tumeuona ujasili wenu
 
Hivi unapoleta threads za kuwafurahisha bavichwa vichwa vya panzi wewe mwenyewe inakusaidia nini. Kigoma cdm kama ilivyo sehemu zote nchini isipokuwa kaskaz kwisha, kwisha kabisa. Hebu tuwekee picha za pikipiki hata 3 za msafara tuone
 
Asante kwa kututukana wanakigoma, tumekuwa wal bangi na viroba

tunashukuru
 
ifike kipindi Dr atumie vyanzo vya chama na michango yetu,plus sala zetu,ili kuweza kufuatilia ishu ya Mpunga wa Uswis,kijana wake naona pumzi imemuishia
 
Mkuu, watu wamebomoa mageti yote mpaka lile la saba, hana kitu alichotegemea hakikuwa.

Hahahaha Mkuu umenichekesha sana,Mageti sita yamebomolewa na kuongezewa la saba,haki ya nani hawa vijana ni wa kuhurumiwa Sixgate & Co.
 
dr slaa ni jasiri na ana uwezo mkubwa sana... Hawa ndiyo aina ya viongozi wanaotakiwa tanzania hii na tunashukuru hii ziara imeyafunga midoma magazeti yanayotumika vibaya kama mwananchi, habari leo uhuru na rai.

Big up dr slaa rais mtarajiwa 2015, tumeshashinda mtego mwingine wa kukukwamisha usigombee tena.

Mimi kama mwanachama halili wa chadema ninayeifahamu katiba ya chadema na ninayeheshi maamuzi ya viakao halali vya chama sioni umuhimu wa kubadili uongozi wa juu wa chama mpaka 2016 tutakapokuwa na serikali ya chadema tanzania.

Viva chadema viva!!!!!!!!!!!!!!!!!

Peoples power... Hakuna kulala mpaka kielweke, chadema ni mpango wa mungu.

haya magazeti radio tv ambayo hayatangazi mambo ya chadema au yanapotosha yanajitakia mema?inaweza kabisa kutabiriwa kuwa itafika siku wanachadema hawatasoma haya magazeti.vyombo hivi vya habari vinatangaza sana ulaghai na uongo wa ccm na wamefanya hivyo kwa muda mrefu!wasipojirekebisha time will tell.
 
Hivi unapoleta threads za kuwafurahisha bavichwa vichwa vya panzi wewe mwenyewe inakusaidia nini. Kigoma cdm kama ilivyo sehemu zote nchini isipokuwa kaskaz kwisha, kwisha kabisa. Hebu tuwekee picha za pikipiki hata 3 za msafara tuone

Kutukana matusi ni dalili ya kuishiwa hoja na kufanana na wavuta bangi wenyewe
 
Hivi unapoleta threads za kuwafurahisha bavichwa vichwa vya panzi wewe mwenyewe inakusaidia nini. Kigoma cdm kama ilivyo sehemu zote nchini isipokuwa kaskaz kwisha, kwisha kabisa. Hebu tuwekee picha za pikipiki hata 3 za msafara tuone
Mwee umetokea wapi na wewe? Wenzio kina Sixgate wameshakimbia hapa,wewe ndio unakurupuka na kujifunika shuka kukiwa kumekucha!
 
sixgates uko wapi...??
Sipati picha saa hizi ulikojificha, inaweza kuwa umekimbilia congo (drc)..!!
Hii inaleta taswira gani..?? Hasa kwa wewe na 'mtabiri' wenu kimbunga...??
Poleni sana akina ritz, zemarcopolo na wengineo...
Oooppps, nilikuwa nimemsahau 'shangazi' yenu faizafoxy... Msalimieni sana..!!

slaa+kigoma13.jpg

amekusanya wauni akawalisha viroba ndiyo wanagongeana hapa. Aibuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu???
 
...Mkuu hapo umenikuna. Na hapo ndipo ninaposhindwa kuielewa dhamira ya akina Dr Kitila kuleta mvurugano katika kipindi sensitive kama hiki. Na kwa kweli ukiangalia uwezo wao kiakili - hili ndilo linalothibitisha kabisa kuwa walitumwa kuiharibu CHADEMA kipindi ambacho CHADEMA haitakuwa na muda wa kutosha kujipanga upya kuikabili CCM miezi michache ijayo. Hawa ndio wanaojidai kuwa ni wasomi, wakati hawana tofauti na dadapoa wanaouza utu wao kwa vipande vya pesa. AIBU!

Wassira aliwekeza sana kwa kina dr.kitila na zitto na ndiyo maana alikuwa na uhakika kwamba 2013 ni mwisho wa chadema kama mpango haramu unge-materialize.Nadhani sasa hivi lumumba wako hoi, itawachukua karne kupata wasaliti wengine kama hawa wanaotarajia kutimuliwa CDM
 
Ni ziara ya kujivunia kwa Dr Slaa maana kwa hali ilivyokuwa inakuzwa wengi tulidhani haiwezekani kwa Dr Slaa kwenda Kigoma kumbe inawezekana na inaonesha kuwa Chadema si chama cha kubeza kama wengi wanavyodhani bali ni chama kilichokomaa na chenye kuendesha siasa zake kwa mipango na kwa kufuata kanuni na taratibu.
Hongera Dr Slaa kwa kufanikisha ziara na waganga njaa yafaa wajue kuwa ndani ya Chadema hakuna mwenye nguvu kuliko katiba.
 
heko dr slaa; wahuni na walevi wafuasi wa zitto ziiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii!
Zzk your shelf life is long gone; exit asap; adieu zitto.

sure,umaarufu wa zitto aliotengenezewa na mbowe is now history.i pitty him.alikuwa amejengewa politcal capital kubwa sana na chadema.sasa najiuliza nini kilimsukuma mpaka akajidhalilisha to that extent mbele ya jamii ya tanzania.na kwa ufahamu wangu kuact kama double agent ni mchezo hatari sana.unaweza kudhurika bila kujua mhusika.nawasihi wanaofanya michezo aina hii kwa kuchumia tumbo tu wajitafakari upya.
 
kwa wale wanaoweza kuonana na dr slaa.mwambieni yeye ni mpango wa Mungu,naomba apitie kitabu kiitwacho A man of the people.he is a man of the people.
 
Back
Top Bottom