Asante Sibuka Tv kuonesha matukio ya kumuaga Mh Regia Karimjee!

kwa ambao hawakuhudhuria angalieni Sibuka Tv now!
 
hao mmiliki wake George Nangale alikuwapo hivyo walikuwa wanatumikia mabwana waiwili
 
hotuba ya Dr Slaa now na ameitaja JF kama moja ya walimu wa Dada Regia!
 
Wonderful!
Afadhali hawa wametuokoa!...wengine tunaishi uani kwa nchi, hii ndio kama 'live' yetu!
 
Mh mbowe anasema alipokwenda Machame girls risala ya kumpokea ilisomwa na Regia Mtema na ndio ulikuwa mwanzo wa kufahamiana!
 
hawa sibuka wana akili sana. kipindi cha kampeni walikuwa wanaonyesha mikutano ya chadema mwanzo mwisho. hata maandamano ya chadema wanaonyesha mara kwa mara. sijajua wamili wa hii tv na ile radio ya times fm. hivi vyombo vipo makini sana. Mia
 
asante Sibuka tv! Wamewatendea haki ambao hawakuhudhuria!
 
Sugu anasema Regia ndio alikuwa jirani yake kwenye siti za Bungeni na kila akitaka kutoa hoja alikuwa lazima amshirikishe!
 
Back
Top Bottom