Star TV na wasomaji wa taarifa ya habari

BANDOKITITA

JF-Expert Member
Oct 4, 2022
1,177
2,281
Kwa kweli baadhi ya vyombo vya habari Tanzania kikiwemo Star TV bado Wana changamoto ya waandishi na wasomaji wa habari.

Yani mtu anasoma habari kama anaogopa studio au kawekewa bunduki kichwani. Kituo kikubwa kama Star TV kweli wanakosa wasomaji wa habari walio mahiri.

Huyu mdada aliesoma leo habari ya saa 2 usiku huu kanishangaza sana, sijui alikuwa mgonjwa au kalazimishwa. Mtu anasoma kwa temple ya chini, hachangamki, na ni kama ana wasiwasi.

Kusoma habari wapewe watu kama akina Machugu na baadhi wanaoimudu kama yeye siyo Kila mtu.

Huyu wa leo mmmmm. Dada pole sn hata km ni uchanga hapana .
 
Wasamehe tu wana njaa kali hawalipwi mishahara hao
 
Star tv ni kichekesho sana

Kwanza huwa wana matatizo yale yale kwenye habari hadi naona huwa wanafanya makusudi,sjui kwa vile hawalipwi vizuri

Kwanza kuna muda wanaonekana kwenye matukio mfano wazir au mkuu wa wilaya wanaweza hata wasiweke majina yao,afu video zao nyingi wanarekodi kwa simu tena simu zenyew za bei ndogo

Anaeweka picha sjui huwa n mlevi kuna muda anachanganya video mpaka anamtoa mood msomaji wa habari

Pia huwa kunakuchelewa kuletwa au kuoneshwa video iliyokusudiwa
 
Sahihi kabisa, hiki chombo cha habari kinatia huruma sn.
 
Kwanza watangaze kuwa Sahara media kupitia kingamuzi Chao Cha continental wamefirika ,wakirudishe tu kwenye FTA ,Kuna shida kubwa kwenye menegment
 
Back
Top Bottom