Hahahahahahaaaaaaa Bishanga hata Roulette ana mume lol ila hatuna agenda yoyote mi nayee ni mtu na dada yake wala sina mawazo kama yako!we erick,acha kujigongagonga wewe kwa Roulette,una mke ujue!
Dah Madame B asante sana aisee
Unajua nini Mkuu Erickb52......, I Salute you'
Humnyimi member 'LIKE' pale panapostahili.(Hayo ni mawazo yangu Madame B) kwani nashuhudia.
Endelea na moyo huo huo na Allah Atakuhafu.
The secretary we huwa unalalamika sionekeni ila nikionekana naonekana kweli yani comment moja full mapoint lolWe Erickb52 hiyo post yako uliiweka jukwaa la wakubwa au la dini?
Hahahaaaaa BADILI TABIA we sema wivu tu ndo unakupeleka TAKUKURUndo maana mie naenda kureport takukuru...
waume zangu wote humu naona umewataja....mke wao umenisahau.....hivi wantakani weye......
Hahahahahahaaaaaaa Bishanga hata Roulette ana mume lol ila hatuna agenda yoyote mi nayee ni mtu na dada yake wala sina mawazo kama yako!
Jumapili uje nikuombee walau lile pepo lako kubwa liondoke labda The secretary atakufurahia!
The secretary we huwa unalalamika sionekeni ila nikionekana naonekana kweli yani comment moja full mapoint lol
Ni jukwaa fulani hivi (La Picha)