MkimbizwaMbio
JF-Expert Member
- Nov 16, 2010
- 868
- 331
mbona polisi,TISS na jw wanazitundika begani na viunoni na huu tuuite ushamba.washamba ni nyinyi ambao hamjazoea kuona haya mambo,ya kawaida sana haya.
Kila kijana Arusha ni Polsi na TISS?
mbona polisi,TISS na jw wanazitundika begani na viunoni na huu tuuite ushamba.washamba ni nyinyi ambao hamjazoea kuona haya mambo,ya kawaida sana haya.
Kweli mkuu ni kutojiamini tu.Arusha watu huku wanajilinda na ni waoga sana
Sasa hili nalo linahitaji utembee na silaha??kweli mkuu. Arusha ukitembea na mke wa mtu au umrushe mtu jua siku zako zinahesabika
Dar ni maboya full.watu wengi wanamiliki silaha kwasababu ya uwizi unaofanyika arusha ni wa hali ya juu sio kama unao fanywa dar wa kupigana kabali,pia watu wengi wanafanya biashara ya mawe hivyo wengi hujilinda kwa bastola zao. hazi janunuliwa kama fashion they have a reason.Dar silaha haina umuimu sana kutokana na mazingira yenu yalivyo.
(joke)masharobaro wa dar mtataweka wapi bastola kiunoni wakati suruali kila saa iko mlegezo anawaza kujirusha.tu
arusha wababe ni wengi,ukiwa umelemaa imekula kwako,beto,screwdriver,bastola ni muhimu sana ukitembea ucku,hadi watoto huwa wanabeba uma wakitoka ucku. . .kwj majumbani kuwa na gobore ni jambo la kawaida tu.ukitaka kujua ziko nyingi karibu usherekee mwaka mpya ngaramtoni,utadhan popcorn zinapasuka.arusha ni balaa

nashindwa kuamini kama unachokisema kina ukweli mkuu,nadhani kati ya watu wakorofi hapa tanzania hasa rika la vijana...ndugu zangu wa Arusha mnaweza kuwa miongoni...suala la kutumia silaha katika ugomvi kati ya mtu na mtu au makundi sio la kuuliza ukiwa Arusha...Arusha watu huku wanajilinda na ni waoga sana
Ni ujinga wa watu wa mirerani wanajiona wapo juu sana kumbe hamna kitu. Wamezoea kutishia watu na vibastola vyao kwa sababu ya tanzanite
nashindwa kuamini kama unachokisema kina ukweli mkuu,nadhani kati ya watu wakorofi hapa tanzania hasa rika la vijana...ndugu zangu wa Arusha mnaweza kuwa miongoni...suala la kutumia silaha katika ugomvi kati ya mtu na mtu au makundi sio la kuuliza ukiwa Arusha...
Hawa watu wanahitaji elimu ya kujitambua. Na kujua kwamba silaha yako yaweza kukuua wewe mwenyewe.