Arusha na silaha

Dar ni maboya full.watu wengi wanamiliki silaha kwasababu ya uwizi unaofanyika arusha ni wa hali ya juu sio kama unao fanywa dar wa kupigana kabali,pia watu wengi wanafanya biashara ya mawe hivyo wengi hujilinda kwa bastola zao. hazi janunuliwa kama fashion they have a reason.Dar silaha haina umuimu sana kutokana na mazingira yenu yalivyo.

(joke)masharobaro wa dar mtataweka wapi bastola kiunoni wakati suruali kila saa iko mlegezo anawaza kujirusha.tu
 
arusha wababe ni wengi,ukiwa umelemaa imekula kwako,beto,screwdriver,bastola ni muhimu sana ukitembea ucku,hadi watoto huwa wanabeba uma wakitoka ucku. . .kwj majumbani kuwa na gobore ni jambo la kawaida tu.ukitaka kujua ziko nyingi karibu usherekee mwaka mpya ngaramtoni,utadhan popcorn zinapasuka.arusha ni balaa
 
mwana apolo/nyoka ana ajiriwa na mwenye mgodi hiyo ndio tofauti.jama ajakosea ni wewe hujui mwana apolo ni nani
 
Dar ni maboya full.watu wengi wanamiliki silaha kwasababu ya uwizi unaofanyika arusha ni wa hali ya juu sio kama unao fanywa dar wa kupigana kabali,pia watu wengi wanafanya biashara ya mawe hivyo wengi hujilinda kwa bastola zao. hazi janunuliwa kama fashion they have a reason.Dar silaha haina umuimu sana kutokana na mazingira yenu yalivyo.

(joke)masharobaro wa dar mtataweka wapi bastola kiunoni wakati suruali kila saa iko mlegezo anawaza kujirusha.tu

duh mkuu hiyo ya masharobaro umeniacha hoi.
 
Ni ujinga wa watu wa mirerani wanajiona wapo juu sana kumbe hamna kitu. Wamezoea kutishia watu na vibastola vyao kwa sababu ya tanzanite
 
arusha wababe ni wengi,ukiwa umelemaa imekula kwako,beto,screwdriver,bastola ni muhimu sana ukitembea ucku,hadi watoto huwa wanabeba uma wakitoka ucku. . .kwj majumbani kuwa na gobore ni jambo la kawaida tu.ukitaka kujua ziko nyingi karibu usherekee mwaka mpya ngaramtoni,utadhan popcorn zinapasuka.arusha ni balaa

nakumbuka ngaramtoni zamani ilikuwa haitawaliki kabisa ni miaka ya mwishoni mwa tisini ndo walikubali kuweka kituo cha polisi .
 
Dar ni maboya full.watu wengi wanamiliki silaha kwasababu ya uwizi unaofanyika arusha ni wa hali ya juu sio kama unao fanywa dar wa kupigana kabali,pia watu wengi wanafanya biashara ya mawe hivyo wengi hujilinda kwa bastola zao. hazi janunuliwa kama fashion they have a reason.Dar silaha haina umuimu sana kutokana na mazingira yenu yalivyo.

(joke)masharobaro wa dar mtataweka wapi bastola kiunoni wakati suruali kila saa iko mlegezo anawaza kujirusha.tu

Sifa za kijinga.
Sasa Arusha mnajisifia wizi??
 
arusha wababe ni wengi,ukiwa umelemaa imekula kwako,beto,screwdriver,bastola ni muhimu sana ukitembea ucku,hadi watoto huwa wanabeba uma wakitoka ucku. . .kwj majumbani kuwa na gobore ni jambo la kawaida tu.ukitaka kujua ziko nyingi karibu usherekee mwaka mpya ngaramtoni,utadhan popcorn zinapasuka.arusha ni balaa

Sio Ubabe ni ushamba.
 
Arusha watu huku wanajilinda na ni waoga sana
nashindwa kuamini kama unachokisema kina ukweli mkuu,nadhani kati ya watu wakorofi hapa tanzania hasa rika la vijana...ndugu zangu wa Arusha mnaweza kuwa miongoni...suala la kutumia silaha katika ugomvi kati ya mtu na mtu au makundi sio la kuuliza ukiwa Arusha...
 
Hawa watu wanahitaji elimu ya kujitambua. Na kujua kwamba silaha yako yaweza kukuua wewe mwenyewe.
 
Kama mnakumbuka kuna mwana JF alileta habari ya jamaa yake ambaye pia ni wa JF alifariki wakati bastola iliyokuwa kiunoni kufyatuka na kurarua tumbe wakati akiendesha gari
 
ni mimi hapa
 
Back
Top Bottom