Arusha na silaha

mkuu kiutamaduni waarusha hutembea na rungu(ng'udi) au sime.sasa kutokana na utandawazi imebidi mila iendelezwe kwa staili ya kutembea na miguu ya kuku.

Ndio ushamba ninaozungumzia huo. We unafikiri kwa nini huku Dar watu hawatembei na silaha mfukoni??
 
Hata hizi spray za mabomu ya machozi nazo zipo kwa wingi.
 
Ila kwelini dalili ya ushamba na kutojiamini, wapo watu wanamiliki lakini u wil never see it! Linapokuja kwa wale ndo twasmema washamba duh akiwa pale bugaluu anaiweka kabisa juu ya meza, sijui ndo kusema aogopwe!
 
hapo naweza kukubaliana na wewe ila sasa hivi arusha kunamchanganyiko wa makabila mbalimbali.
kkama asilimia kubwa wana miguu ya kuku halafu wewe utembee kiuno kitupu maisha yataenda kweli?kila siku utanyang'anywa mke.ili heshima iwepo kila mtu anatundika ya kwake kiunoni.
 
Ila kwelini dalili ya ushamba na kutojiamini, wapo watu wanamiliki lakini u wil never see it! Linapokuja kwa wale ndo twasmema washamba duh akiwa pale bugaluu anaiweka kabisa juu ya meza, sijui ndo kusema aogopwe!
mbona polisi,TISS na jw wanazitundika begani na viunoni na huu tuuite ushamba.washamba ni nyinyi ambao hamjazoea kuona haya mambo,ya kawaida sana haya.
 
dawa ni kumiliki kifaru tu maana hizi silaha kama bastola hazina maana tena
 
kkama asilimia kubwa wana miguu ya kuku halafu wewe utembee kiuno kitupu maisha yataenda kweli?kila siku utanyang'anywa mke.ili heshima iwepo kila mtu anatundika ya kwake kiunoni.

ndo manake mkuu.
 
Jamani huku Arusha karibu kila kijana mwenye maisha mazuri kiasi anamiliki bastola . Sijui kama kuna mkoa watu wanamiliki silaha kama huu . Ni kwanini inakuwa hivi ? Nipe sababu zako.

Huko kuna makabila amabayo kwa asili, mwanamme ni lazima abebe silaha. Hiyo inachangia sana.

Halfu Arusha inajulikana kwa ujambazi na wizi wa silaha, hiyo nayo inachangia pia.
 
Huko kuna makabila amabayo kwa asili, mwanamme ni lazima abebe silaha. Hiyo inachangia sana.

Halfu Arusha inajulikana kwa ujambazi na wizi wa silaha, hiyo nayo inachangia pia.

hapo naweza kukubaliana na wewe ila hiyo ni sababu moja.
 
Back
Top Bottom