meningitis
JF-Expert Member
- Nov 17, 2010
- 8,349
- 4,674
Uwe na akili timamu.
akili timamu ikoje?halafu utaipimaje?
Uwe na akili timamu.
mkuu kiutamaduni waarusha hutembea na rungu(ng'udi) au sime.sasa kutokana na utandawazi imebidi mila iendelezwe kwa staili ya kutembea na miguu ya kuku.
kkama asilimia kubwa wana miguu ya kuku halafu wewe utembee kiuno kitupu maisha yataenda kweli?kila siku utanyang'anywa mke.ili heshima iwepo kila mtu anatundika ya kwake kiunoni.hapo naweza kukubaliana na wewe ila sasa hivi arusha kunamchanganyiko wa makabila mbalimbali.
Hata hizi spray za mabomu ya machozi nazo zipo kwa wingi.
dar silaha kubwa ni mdomo!arusha ni vitendoNdio ushamba ninaozungumzia huo. We unafikiri kwa nini huku Dar watu hawatembei na silaha mfukoni??
mbona polisi,TISS na jw wanazitundika begani na viunoni na huu tuuite ushamba.washamba ni nyinyi ambao hamjazoea kuona haya mambo,ya kawaida sana haya.Ila kwelini dalili ya ushamba na kutojiamini, wapo watu wanamiliki lakini u wil never see it! Linapokuja kwa wale ndo twasmema washamba duh akiwa pale bugaluu anaiweka kabisa juu ya meza, sijui ndo kusema aogopwe!
Nyingi hazina risasi!utakuta ameweka kiunoni but iko tupu
Jamani huku Arusha karibu kila kijana mwenye maisha mazuri kiasi anamiliki bastola . Sijui kama kuna mkoa watu wanamiliki silaha kama huu . Ni kwanini inakuwa hivi ? Nipe sababu zako.
utakunywa bia ndani ya kifaru?dawa ni kumiliki kifaru tu maana hizi silaha kama bastola hazina maana tena
labda dar uchumi hauruhusu au kuna upungufu wa wezi mkuu .