Arusha: Mtifuano wa machinga soko la Kilombero

Kwenye facebook Julius Mtatiro ameandika kuwa waliopigwa katika eneo hilo ni viongozi wa CUF waliokuwa wanatangaza mkutano wao wa Jumapili. Anawalaumu Chadema kwa kupanga kundi la vijana kuwashambulia viongozi wake kwa lengo la kuwaua. Hii ina uhusiano na hiyo ya mpambano wa machinga katika eneo hilohilo?

Kauli yake inathibitisha ukweli kuwa CuF wametumwa kufanya kazi ya ccm, katika kitengo cha propaganda.
 
Hiyo ndiyo Arusha ilishwa pikwa ikapikika,na wanaweza kujitegemea wenyewe sasa.Big up wana Apolo

Wanaapolo tutahakikisha uhuru wa nchi hii unazaliwa.......2017 tutakuwa na kauli nyingine kama hii......MIAKA MIWILI YA UHURU.....raha eeehhh......
 
siku zote mipango ya viongozi dhaifu huzaa maisha magumu kwa wananchi wake.kulikua na sababu gani ya kuwahamisha bila kufanya tathmini ya ukubwa wa eneo husika!?

sasa hapo walipowahamishia....hakuna choo....hakuna maji...mvua ikinyesha mbona watatafutana......hao vibaka huko sasa....wanunuzi usalama wao mashakani.....
 
Hii imetokea maeneo ya kilombero sokoni ambapo wamerushiwa mawe na kujeruhiwa vibaya ambapo majeruhi wamewahishwa hospitali,huku julius mtatiro akitupia lawama chadema kwa kusema wafuasi waliandaliwa ili kuwafanyia vurugu na polisi kwa kutochukua hatua japo walikuwa eneo husika.
Source؛julius mtatiro facebook

hahahahaha kwikwikwikwikwi uuuuwiiiii MIE NAPITA TU.M4C
 
Hii imetokea maeneo ya kilombero sokoni ambapo wamerushiwa mawe na kujeruhiwa vibaya ambapo majeruhi wamewahishwa hospitali,huku julius mtatiro akitupia lawama chadema kwa kusema wafuasi waliandaliwa ili kuwafanyia vurugu na polisi kwa kutochukua hatua japo walikuwa eneo husika.
Source؛julius mtatiro facebook

Sijui huyu jamaa anafanya nini kwenye hiki chama... halafu wameshamfundisha majungu kafanana nao.
 
Hii imetokea maeneo ya kilombero sokoni ambapo wamerushiwa mawe na kujeruhiwa vibaya ambapo majeruhi wamewahishwa hospitali,huku julius mtatiro akitupia lawama chadema kwa kusema wafuasi waliandaliwa ili kuwafanyia vurugu na polisi kwa kutochukua hatua japo walikuwa eneo husika.
Source؛julius mtatiro facebook

Cuf na ccm havikubaliki
 
Haahahhahaaah ! Hatari , Sana !

nchi hii kila kitu CDM , hhaaaaahaah CUF chama cha Washamba fulani hivi wakaingia kwa machaliiiii na swagger zao wakapata haki yako
 
Wanaapolo tutahakikisha uhuru wa nchi hii unazaliwa.......2017 tutakuwa na kauli nyingine kama hii......MIAKA MIWILI YA UHURU.....raha eeehhh......

Preta natamani kuwa mwana APOLO kama ww.Ila nitatumia maujanja ya wana apolo kuelimisha huku kwetu uzaramoni
 
Sasa kama rafikio kakuambia kama kuna mtifuano kwa nini usingemuuliza nini tatizo mapaka ikatokea hiyi mitifuano au unataka kusumbua watu tu hapa

Yeye mwenyewe alikuwa anapita, hakuweza kufuatilia kutokana kuwa tayari jeshi la polisi lilishafika akahofia maisha yake kwa hiyo hakuweza kudadisi vizuri
 
Back
Top Bottom