Arusha: Mtifuano wa machinga soko la Kilombero

Hicho kiwanja kiliuzwa kwa nani? Na plan ya jiji la Arusha inaonesha hicho kiwanja kitumike kwa shughuli gani?
Yes, kwa anayefahamu atujuze hili tafadhali, alafu wananchi wa Arusha ni watu wa mfano kuigwa ktk kudai haki iliyoporwa.
 
Kutokana na matukio yote yaliyotokea kuanzia wiki hii hadi leo ndipo pale utakapogundua ya kuwa chadema na wafuasi wa arusha si watu wa vurugu isipokuwa serikali ndiyo waleta vurugu.

Juzi lema alikuwa na mkutano wahadhara na ulifanyika maeneo ya levolosi katika matamshi yake alisema wamechinga wamedanganywa kwani eneo walilopewa si stahiki yao maana hakuna huduma za kijamii kama choo n.k akahoji kwanini eneo la soko auziwe mtu mmoja.mbali na hayo hakuna fujo yoyote iliyotokea.
Leo katika harakati za machinga kupata sehemu za kufanyia biashara baada ya eneo walilopewa na manispaa kutokuwatosha wamegawana eneo alilouziwa mtu mmoja ambalo lilikuwa ni eneo la soko la kilombero bila ya mwananchi yeyote kudhurika.

Je serikali ingekuwa imeingiza ubabe wake usio na kichwa wala miguu nini kingetokea hadi mda huu? Baada ya serikali kushtumiwa katika kifo cha mwandishi wa habari kule iringa ndiyo inaanza kujua haki za raia wake
 
  • Thanks
Reactions: FJM
Wamefukuzwa eneo lao la awali soko kuu na kupelekwa NMC ambapo hapatoshi kwa wengine. Waliokuwa wanuza nje ya eneo hilo wakaanza kunyang'anywa vitu nd wakaamua kuvamia eneo hilo ili walitumie.
 
wadau mnaombwa kushiriki katika maada tajwa hapo juu kwa kangalia.ni muhimu sana kushiriki ili kujua mawazo ya wadau wengine na hasa vyama vya sisa juu mamlaka na madaraka ya Rais katika katiba mpya.
 
labda angepigwa risasi Mussa Nkanga aliyeuza uwanja wa kilimbero na baadae anakuja kufungua kesi dhidi ya Lema
 
umesoma thread na kuielewa kabla ya kuchangia? au umekurupuka tu toka matejoo ndio unachangia??
Mkuu! unakumbuka JK na Mkuu wa mkoa wa Arusha walichosema baada ya Mh Lema kutenguliwa Ubunge?
I was trying to be a sarcastic only. Pole kama haukunielewa, but I'll break it down
I mean. Fujo za Arusha zinasababishwa na CCM, sio Mh Lema kama JK na Mulogo wanavyotaka kutulazimisha sisi wananchi kuamini
 
unachosema ni kweli kabisa......Lema aliongea ukweli siku ile ya mkutano....pale walipo wamachinga hapafai kwa matumizi ya binadamu.....kwa tutaoifahamu Arusha lile eneo tunalijua vizuri.......tatizo la hii serikali ukiwa mkweli huna chako.....
 
Preta nimekubakizia kineo cha biashara karibu na disemba, vipi utakihitaji..lol
 
Last edited by a moderator:
Preta nimekubakizia kineo cha biashara karibu na disemba, vipi utakihitaji..lol
 
Last edited by a moderator:
Watawala wetu wakiambiwa kuna siku nji hii haitatawalika wanakuja juu, wanakuwa wepesi wa kuropoka na vitisho kede kede!! je kitendo hiki kinaashiria nini kwa nji yetu???!!!

Ukitaka amani pigania haki; mother Tanzania is at the cross roads to either amargeddon or prosperity;

Watawala wetu msipende kusikia yanayowafurahisha tu, mnao wajibu kwa umma kushughulikia na yasiyowapendeza pia.

Acheni kuwa kama Mitt Romney mgombea uraisi wa Marekani 2012 na dhana zake za "the 47%; I have nothing to do with those!!"
 
Serikali yo yote ikitaka ikae vizuri madarakani ni lazima iwajali watu wake. Aliwahi kusema Abraham Lincoln "Government of the people, by the people, for the people, shall not perish from the Earth."
 
Back
Top Bottom