Arusha: Mtifuano wa machinga soko la Kilombero

Mji wa arusha umechafuka ghafla baada ya wafanyabiashara ndogo ndogo mjini hapa kuvamia eneo lililouzwa na aliyekuwa meya miaka ya nyuma. Eneo hilo liko karibu na soko la kilombero. Hali hiyo imekuja baada wa manispaa ya arusha kukamata bidhaa za wafanyabiashara hao ambapo eneo walilokuwa wamepangiwa kuwa dogo kuliko wafanyabiashara hao
Yote haya ndo anayoyapenda lema kwani yeye kwenye mkutano wa juzi arusha aliwahamasisha wamachinga Quote By Mungi View Post Lema amesema kuwa uwanja wa kilombero ni wa machinga, na ule wa nmc kupewa machinga wameingizwa chaka! Anasema serikali watuonyeshe uwanja wa wazi kwa wana Arusha! Nmc hakuna choo, hakuna social facilities, yaani ni kama wamewa dump. Mvua ikinyesha nmc hakufai, machinga wote warudi mjini! kazi kweli arusha mtajuta kumfaham lema.
 
Mkuu wa mkoa ameumizwa na ile nyomi ya LEMA juzi hana pa kutokea yule atajuta kukubali kuongoza AR
 
So ni mtifuano wa machinga ndo umetokea maana nimeona mkulu mmoja wa CUF fb analalamika kuwa wamepopolewa mawe na CDM, ama kweli chama hichi kitasingiziwa mengi, but hawataweza danganya umma tena.
 
Yote haya ndo anayoyapenda lema kwani yeye kwenye mkutano wa juzi arusha aliwahamasisha wamachinga Quote By Mungi View Post Lema amesema kuwa uwanja wa kilombero ni wa machinga, na ule wa nmc kupewa machinga wameingizwa chaka! Anasema serikali watuonyeshe uwanja wa wazi kwa wana Arusha! Nmc hakuna choo, hakuna social facilities, yaani ni kama wamewa dump. Mvua ikinyesha nmc hakufai, machinga wote warudi mjini! kazi kweli arusha mtajuta kumfaham lema.

lema alikuwa sahihi kwani uongozi wa shule ya sekondari jana umeandamana hadi kwa mkuu wa wilaya na leo hii wameenda kwa mkuu wa mkoa kuhusiana na kuweka soko katika eneo la shule na hadi mda huu wamachinga waliokuwa wamepewa pale wameambiwa waondoke na watapewa maelekezo mengine
 
Vurumai Arusha Live: Wananchi wa Arusha warejesha Kiwanja chao cha wazi kilicho kuwa kimeuzwa na kuweka soko



IMG-20120927-WA0006.jpg

Umati wa watu wakiwa wanaandamana kuvunja uzio na kuweka soko mikononi mwao

IMG-20120927-WA0007.jpg



IMG-20120927-WA0008.jpg

Magari yakiwa yamepaki kwa usalama

IMG-20120927-WA0009.jpg



IMG-20120927-WA0011.jpg



IMG-20120927-WA0012.jpg



Hili ndilo Kundi la Polisi lililo fika eneo la uwanja wa kilombero , lakini sasa mambo Shwari wameondoka bila kufanya kitu chochote!






IMG-20120927-WA0017.jpg

Lilifika Gari moja kwanza


IMG-20120927-WA0018.jpg

Hali ilipo zidi kuwa tete yakaongezeka Mawili
IMG-20120927-WA0016.jpg

Sasa Yamekuwa matatu na yote yamejaa FFU kwa ajili ya kulinda usalama wa wananchi..

Hata Hivyo mpaka tunapo toa Taarifa muda huu Polisi hao wamesha ondoka eneo la tukio, na mambo ni Shwari kabisa, Taarifa kamili itawaajia baadae.

Hili lilikuwa tuu ni tukio Live katika picha kuwaonesha jinsi mambo yanavyo kwenda pande za Arusha


PICHA ZOTE NA
www.blogszamikoa.blogspot.com



 
Safi mkuu. Nako watasema ni mbunge Lema kasababisha hayo? Wananchi wa Tanzania maskini wa leo si wale wa jana. Tafakari. Ole wao polisi watumike kuwapiga mabomu na risasi za moto. MAfisadi wote waaondolewa kwa staili hii tu. Azimio la Zanzobar ni lazima life hapo SSM itakapoondoka madarakani. Mungu si athmani siku ya siku itafika tu.
 
Makamanda fear not kwani hapa ni harakati mwanzo mwisho mpaka kieleweke.

Nchi ni yetu sote.

The struggles aluta continua.
 
dah....kumbe ukiwa Summit centre unapata picha murua namna hii........
 
Hamjajua kinachoweza kutokea hapo kesho. Inawezekana kabisa leo polisi wakaona wakianzisha vurugu itakuwa kubwa sasa kesho wanaweza kuanzia saa tisa usiku eneo hilo likaanza kulindwa ili kuzuia machinga kuja na kuendelea na biashara. Bado ni mapema kutangaza eneo limerudi.
 
  • Thanks
Reactions: FJM
Raia wakichoka chochote utokea
Wahusika fungueni masikio yenu na muongee na wapiga kura wenu...
Mda si mrefu mambo yatakuwa sio mambo
 
Back
Top Bottom