Arusha: Mkuu wa Mkoa na Mkuu wa Wilaya watunishiana misuli

Moja ya misiba tuliyonayo ktk Taifa hili ni kiumbe(Sins hakika kama ni Binadamu)jamii yako na genge la ufipa mnaolazimisha wote tuwe kinyume mkisahau kuwa mnaowajaza uzwazwa wanajielewa na hawawezi fanana na nyie.

Sent using Jamii Forums mobile app

Wewe unajielewa? Yaani wakiitwa wanaojielewa na wewe utajitokeza? Ni kigezo gani unatumia uonekane wewe unajielewa? Hawawezi fanana na sisi kwa sababu nyie wotee ni mbumbumbu vilaza lakini mmekariri kuwa ni wajanja kumbe ni majuha watupu, jamii yako na genge la vilaza wenzako ndiyo wana msiba kwani wamekaa na watu wakiamini ni watu wa maana kumbe ni viumbe vya hovyo visivyo na Akili hata ya kupikia Uji usio na sukari, ni Aibu kwa CCM kukutumia kama Mtetezi wao mitandaoni kwani wewe badala ya kuwasaidia CCM unazidi kuwaudhi na kuwatia aibu kutokana na Upeo wako mdogo kama punje ya ulezi.
 
Wakti
Hao watu inaelelekea hawajui umuhimu wa hekima na busara pia uvumilivu ni hatari sana, hivyo vitabia vya kijijini havifai kwenye uongozi mkubwa[/QUOTE

Hawa vijana wa awamu ya 5 ukiwachekea utajuta, wakati mwingine better to obey your natural instinct kama Sarawat alivyofanya 1957 na alishinda!
 
Sijaona Kutunishiana Kwao Ila Dc Daqaro alijaribu Kuweka Mambo Sawa ila Vijana Wa PSU Wanajeuri Sana

Sent using Jamii Forums mobile app


DC Daqaro ha haaa... PSU original huyo hataki kusema kwa kupindisha maneno..!! Ila ktk kazi kupishana kauli ni kitu cha kawaida sana mbona.. Hapa CDM wataona kama ndio anguko la serikali, wala hakuna kutunishiana misuli, ha haaaa, haya mambo ya kawaida..!!
 
DC Daqaro ha haaa... PSU original huyo hataki kusema kwa kupindisha maneno..!! Ila ktk kazi kupishana kauli ni kitu cha kawaida sana mbona.. Hapa CDM wataona kama ndio anguko la serikali, wala hakuna kutunishiana misuli, ha haaaa, haya mambo ya kawaida..!!

kwani lazima uandike kikwenu? na hizo herufi za kirumi haina lazima kuziweka
 
Back
Top Bottom