Arusha: Mkuu wa Mkoa na Mkuu wa Wilaya watunishiana misuli

Japo DC kamtunishia misuli RC kimakosa lakini ni haki yake. RC alitakiwa awasiliane na DC kabla ya kuja kulisema hilo jambo kwenye kikao. Tatizo wanapenda kuchongeana kwa kuonyesha mwingine hafanyi kazi yake ipasavyo Ili mwajiri wao amfukuze

Sent using Jamii Forums mobile app
Je kama hicho ndio kikao rasmi cha kuzungumzia hilo swala je??
 
Hahahahaha unamjua Huyo DC alikuwa wapi kabla hajawa DC tafuta picha zipo humu
Taratibu watu watajua Umuhimu wa zile Semina Za Ngurdoto Za Viongozi walizokuwa wanafanyiwa Baada ya kupewa Mamlaka japo wakati ule Z ilionekana Ni upotevu wa Fedha Za mlipa kodi

Ukimfuatilia kwa ukaribu Mrisho Gambo unaona kadiri Siku zinavyoenda anazidi kukomaa kiungozi, DC kaonesha utovu wa nidhamu Mkubwa Hata Kama RC kakosea japo sijaona kosa hapo alipaswa kumpa kimemo ili Mwenyewe RC ajirekebishe!

Hapo ingekuwa Ni DC wa Ilala Au Kinondon ndio anampinga hadharan Mstahiki Paul Makonda nadhan Fire ingebidi waje kuzima Moto

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu kwani ukitumia lugha yenye staha kumjibu kuna tatizo tangu juu nakusoma Unalalama tu na lugha zisizo na staha
Ni kweli mkuu lakini hao vijana wa cyprian Musiba huwa ni wajinga sana ndiyo maana wakati mwingine tunawapa maneno makali kwani wanaudhi sana
 
Arusha na Kilimanjaro kuna ombwe la uongozi.

Ina ma DC wanaojiona wakubwa kuliko RC's.

Huko kote Waziri Jafo na PM wanatakiwa wafanye uchunguzi wajue ni nani ameota mapembe ili wawafyekelee mbali!
 
DC inaelelekea ni mshamba Fulani na kwa kuwa kuonyesha utovu wa Nidhamu live ajiandae kufukuzwa kazi na pia kufutwa huko TISS napo kwani huko napo huwa hawataki watu wajinga jinga wasio na Nidhamu.
Tisa huwa hawafukuzwi kijinga kama unavyowaza mkuu
 
Nipo tumboni mwako wewe mburula nipungue vipi wakati nasubiri nikutoboe tumbo kwa pesa za Rushwa unazokula, umejiona mjanja kuisengenya ID ya JF, tambua kipimo cha Akili hapa JF ni kutoisengenya ID ya JF ndiyo maana watu wenye Akili hawahangaiki na kuziongelea ID za watu ikiwemo ID yako ya kifala fala, watu wapo busy na hoja na mada wewe unaleta ujinga wako humu acheni kuishi kwa shemeji tafuta chumba ukae ili upanuke kimawazo upate hata kujua RC ni boss wa DC
 
Sawa minyoo
 
Wanafukuzwa sana tu wapo wengi mtaani wamefukuzwa tena kwa makosa madogo huwezi kutarajia.
Kwa kosa kama hilo awezi kufukuzwa niamini mimi...anaweza kutenguliwa ukuu wa wilaya but sio kule kitengo...ninafahamu vizuri nachokizungumza mkuu
 
Back
Top Bottom