Arusha: Mkuu wa Mkoa na Mkuu wa Wilaya watunishiana misuli

RC anasema DC na NAIBU WAZIRI walitilia shaka bati. DC anasema HAPANA, NAIBU WAZIRI ndie aliyeagiza.
Hoja ni kwamba, iweje mpaka aje NAIBU WAZIRI kwenye wilaya yako ndio ijulikane bati zinashida?
Lilikuwa ni jukumu lake yeye DC kutilia shaka na kuishirikisha ofisi ya RC kwa ufuatiliaji wa karibu.
Kuna kitu personal baina ya viongozi hawa wawili.
Facts.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu wa wilaya Mh.Dagaro...ni mtu wa kitengo kabla ya kuwa mkuu wa wilaya alikuwa PSU (president security unit) Ndio maana RC GAMBO kawa mpole
Kwani yeye nani? Heshima hana atolewe tu, katolewa naibu Dstv yupo Tabora kama katibu tawala wa Mkoa,itakuwa yeye?

Alichokifanya ni ushamba na ulimbukeni wa uongozi mkuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
DC mbn kama anataka kuvimba kwa RC....
Hvi RC ana uwezo wa kumuweka korokoroni DC sheria zinasemaje au hyo iko kwa watu wa chini tu

Ova

Sent using Jamii Forums mobile app
unamjua huyo DC vizuri? Daqaro ni Usalama tena wale wenye level za juu za VIP protection,ukiacha kuwa DC but kwa rank za kimedani Gambo haingii hata kidogo kwa huyo jamaa...kamlinda sana JK huyo bwana
 
Hizi ndo akili za kimbumbumbu kama mtu anatoa taarifs tofauti na uhalisia unatakiwa umtaarifu hapo hapo asiendeleze upotoshaji wa taarifa maana damage ikishafanyika si rahisi kutengenezeka...uoga ukitawala unashindwa kujiamini hata kwenye haki yako

kuna namna ya kuongea sasa kumuandikia kimemo au kumnong'oneza

muwe mnakuwa na akili wakati mwingine, au ni wakati gani busara mna apply??
 
Back
Top Bottom