Arusha: Mkuu wa Mkoa na Mkuu wa Wilaya watunishiana misuli

Hao watu inaelelekea hawajui umuhimu wa hekima na busara pia uvumilivu ni hatari sana, hivyo vitabia vya kijijini havifai kwenye uongozi mkubwa
Hapo umemsema Mkuu wa wilaya au Mkuu wa.....
 
Hapo tatizo liko wapi? Kwenye vikao vya ndani hayo mambo yapo sana tu.Tatizo lenu hamjawahi kukaa hata kikao kimoja cha kiutendaji ndiyo maana mnaona ni issue kubwaaa!! Ila tatizo langu ni huyo aliyechukua hiyo clip kwenye kikao cha ndani na kuleta kwenye public. Asipokuwa makini kuna siku ataleta hata clip ya mama na baba yake wakigombana nyumbani kwao.
Oooh mzee wa UVccm

Sent using Jamii Forums mobile app
 
watu mnajifanya kuficha ukweli wa makosa ya Gambo kama vile hamuoni ukweli. DC yupo sahihi na alikuwa anamsihi RC aongee ukweli kwakuwa unasikiwa na kila mtu hata rais mwenyewe. DC hajafanya chochote cha utovu wa nidhamu .
 
Taratibu watu watajua Umuhimu wa zile Semina Za Ngurdoto Za Viongozi walizokuwa wanafanyiwa Baada ya kupewa Mamlaka japo wakati ule Z ilionekana Ni upotevu wa Fedha Za mlipa kodi

Ukimfuatilia kwa ukaribu Mrisho Gambo unaona kadiri Siku zinavyoenda anazidi kukomaa kiungozi, DC kaonesha utovu wa nidhamu Mkubwa Hata Kama RC kakosea japo sijaona kosa hapo alipaswa kumpa kimemo ili Mwenyewe RC ajirekebishe!

Hapo ingekuwa Ni DC wa Ilala Au Kinondon ndio anampinga hadharan Mstahiki Paul Makonda nadhan Fire ingebidi waje kuzima Moto
Gambo kabadirika sana.

Hata mie nimewahi kujiuliza khs semina elekezi...sasa hivi kila mmoja na lwake, bora ana ripoti ikulu imekua nongwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
unamjua huyo DC vizuri? Daqaro ni Usalama tena wale wenye level za juu za VIP protection,ukiacha kuwa DC but kwa rank za kimedani Gambo haingii hata kidogo kwa huyo jamaa...kamlinda sana JK huyo bwana

Daaah aisee kwani kuna ulazima huo wajameni?
 
Kwahiyo unadhani vikao vya ndani/utendaji unakaa wewe tu? Aliyeleta clip nimjumbe wa hicho kikao na yuko vetted na ameapa! Ukiona wewe unaona ugomvi wa wazazi wako mara zote ujue wewe ni kavulana kanakokaa nyumbani kwa wazazi wake. Hivo mind your thinking.
Hapo tatizo liko wapi? Kwenye vikao vya ndani hayo mambo yapo sana tu.Tatizo lenu hamjawahi kukaa hata kikao kimoja cha kiutendaji ndiyo maana mnaona ni issue kubwaaa!! Ila tatizo langu ni huyo aliyechukua hiyo clip kwenye kikao cha ndani na kuleta kwenye public. Asipokuwa makini kuna siku ataleta hata clip ya mama na baba yake wakigombana nyumbani kwao.

Sent from my ONE TOUCH 4033D using Tapatalk
 
Huyo Dc amekosa nidhamu na ueledi
Huwezi bishana na mkuu wako wa kazi hadharani,taratibu za utumishi haziruhusu
Huyo Daqaro arudishwwe kulinda viongozi,tena anatakiwa akamlinde Malecela au warioba,alale tuu akitoka kampeleka kiongozi kupima presha
 
Back
Top Bottom