yegella
JF-Expert Member
- Nov 18, 2010
- 3,113
- 1,102
Leo nitawaletea kitakacho kuwa kinaendelea kwenye uwanja wa Levolosi kwenye mkutano wa CUF. kwasasa CUF walikuwa wanazunguka hapa mjini Arusha wakiwa na coasta zaidi ya 20 na pikipiki....

Mkuu, haraka za nini? Kwa nini usisubiri muda wa mkutano ufike ndipo uanze kutupatia updates? Umejivua nguo hadharani mwenyewe!Leo nitawaletea kitakacho kuwa kinaendelea kwenye uwanja wa Levolosi kwenye mkutano wa CUF. kwasasa CUF walikuwa wanazunguka hapa mjini Arusha wakiwa na coasta zaidi ya 20 na pikipiki....
Mkuatno ulisha anza tangu jumapili iliyopita huu ni mwendelezo tu kama una wivu anzisha na wewe thread yako.Mkuu, haraka za nini? Kwa nini usisubiri muda wa mkutano ufike ndipo uanze kutupatia updates? Umejivua nguo hadharani mwenyewe!
Maandamano huwa ni kwa kutembea kwa miguu.
Kumbuka ushauri si deni.Mkuatno ulisha anza tangu jumapili iliyopita huu ni mwendelezo tu kama una wivu anzisha na wewe thread yako.
Umekariri....... Na kampen anazofany obama si kampeni maana yeye hatumii chopper wala hatembei kwenye vumbi
Mkuu Yegella,
Endelea kutuhabarisha kinachoendelea huko. Hizo Costa 20 ndio zile zilizotoka Dar au??
TUMBIRI (PhD, University of HULL - UK),
tumbiri@jamiiforums.com
Mkuu, haraka za nini? Kwa nini usisubiri muda wa mkutano ufike ndipo uanze kutupatia updates? Umejivua nguo hadharani mwenyewe!
Mkuu Yegella,
Endelea kutuhabarisha kinachoendelea huko. Hizo Costa 20 ndio zile zilizotoka Dar au??
TUMBIRI (PhD, University of HULL - UK),
tumbiri@jamiiforums.com