Arusha: Mkutano wa CUF na Picha za matukio mbalimbali - Sept 30, 2012

Chama kilishashindwa ile siku waliyoingia muafaka na mwizi CCM na kukubali kuwa mke wa Fisadi na fedhuli bin dhalimu CCM
 
ila mimi nawakubali sana CUF kwa maana si mliona mwaka 2000 na mwaka 1995? CUF wanakubalika katika jamii japo nao pia naona kama wana ka udini ila hawajaishinda M4C ,chadema wapo kidini zaidi wakifuatiwa na CUF ,binafsi nafuu wazee wa kuvua Gamba.

Ni sawa wewe kuwakubali maana mafisadi ndio mbinu zao za kisadi hizo,ccm ndio chama cha udini kwani kila wanapoelemewa wanatumia udini kuwagawa watanzania
 
Maandalizi yanaendelea huku daladala ikiwa hapa uwanjani inapakia watu wanaotaka kwenda uwanja wa ndege. Tunaombwa watu wawili tu wamebaki gari liondoke nusu saa sasa!
 
Kama haya yanayosemwa ni kweli basi CUF wamekwisha kabisa,

wanachofanya ni sawa na kibaka kujiibia mwenyewe, au mtu kujitumia barua mwenyewe au kuchakachukua saa yako ili kurudisha nyuma/kusogeza mbele majira.
 
Kuvuja kwa pakacha nafuu ya mchuuzi! leo Arusha biashara nje nje nyumba za wageni, mama ntilie, kitimoto, ndizi,...Baada ya huu ugeni mkubwa cuf! Changamkieni tenda hiyo wamekuja wenyewe!
 
Kuvuja kwa pakacha nafuu ya mchuuzi! leo Arusha biashara nje nje nyumba za wageni, mama ntilie, kitimoto, ndizi,...Baada ya huu ugeni mkubwa cuf! Changamkieni tenda hiyo wamekuja wenyewe!

Mkuu wangu hao wapemba watalala nyumba za wageni?
 
Maandalizi yanaendelea huku daladala ikiwa hapa uwanjani inapakia watu wanaotaka kwenda uwanja wa ndege. Tunaombwa watu wawili tu wamebaki gari liondoke nusu saa sasa!

Mkandarasi kwanini hujapunguza siti moja nawe ukamlaki le profesa wa uchumi sultan Lipumba!?
Btw, vipi uwanja wa levolosi ukoje hadi sasa?
 
Costal kutoka Dar hizo

Leo nitawaletea kitakacho kuwa kinaendelea kwenye uwanja wa Levolosi kwenye mkutano wa CUF. kwasasa CUF walikuwa wanazunguka hapa mjini Arusha wakiwa na coasta zaidi ya 20 na pikipiki....
 
Leo nitawaletea kitakacho kuwa kinaendelea kwenye uwanja wa Levolosi kwenye mkutano wa CUF. kwasasa CUF walikuwa wanazunguka hapa mjini Arusha wakiwa na coasta zaidi ya 20 na pikipiki....

kwani bado ipogo?
 
IMG_3177.JPG
Maandamano ya CUF hii leo.
 
Mtatiro ndo nimemfahamu rasmi saivi pamoja na kuwa alikuwa rafki yangu mkubwa pale UDSM nakubali madaraka yana nguvu
 
Back
Top Bottom