Arusha: Mkutano wa CUF na Picha za matukio mbalimbali - Sept 30, 2012

yegella

JF-Expert Member
Nov 18, 2010
3,113
1,102
Leo nitawaletea kitakacho kuwa kinaendelea kwenye uwanja wa Levolosi kwenye mkutano wa CUF. kwasasa CUF walikuwa wanazunguka hapa mjini Arusha wakiwa na coasta zaidi ya 20 na pikipiki....
 
Attachments

  • IMG_3182.JPG
    IMG_3182.JPG
    574.4 KB · Views: 1,562
  • IMG_3183.JPG
    IMG_3183.JPG
    678.5 KB · Views: 1,755
  • IMG_3180.JPG
    IMG_3180.JPG
    395.4 KB · Views: 1,332
  • IMG_3181.JPG
    IMG_3181.JPG
    434.2 KB · Views: 1,273
  • IMG_3178.JPG
    IMG_3178.JPG
    597.5 KB · Views: 1,287
  • IMG_3184.JPG
    IMG_3184.JPG
    758.2 KB · Views: 1,220
Leo nitawaletea kitakacho kuwa kinaendelea kwenye uwanja wa Levolosi kwenye mkutano wa CUF. kwasasa CUF walikuwa wanazunguka hapa mjini Arusha wakiwa na coasta zaidi ya 20 na pikipiki....

Hayo siyo maandamano? Mbona CDM wanazuiwa?
 
Leo nitawaletea kitakacho kuwa kinaendelea kwenye uwanja wa Levolosi kwenye mkutano wa CUF. kwasasa CUF walikuwa wanazunguka hapa mjini Arusha wakiwa na coasta zaidi ya 20 na pikipiki....
Mkuu, haraka za nini? Kwa nini usisubiri muda wa mkutano ufike ndipo uanze kutupatia updates? Umejivua nguo hadharani mwenyewe!
 
Mkuu, haraka za nini? Kwa nini usisubiri muda wa mkutano ufike ndipo uanze kutupatia updates? Umejivua nguo hadharani mwenyewe!
Mkuatno ulisha anza tangu jumapili iliyopita huu ni mwendelezo tu kama una wivu anzisha na wewe thread yako.
 
Ngoja tuwaone wazee wa DAR uwanja utajaa mahubiri yale yale ya REDIO IMAAN
 
Umekariri....... Na kampen anazofany obama si kampeni maana yeye hatumii chopper wala hatembei kwenye vumbi

Inawezekana sijakuelewa unataka kusema nini? ila nichokisema mimi kuwa kwa tafathili ya maandamano ni lazima ya husishe watembea kwa miguu. niko tayari kurekebishwa kama sijui maana ya maandamano.
 
Yan hiyo live unaandika sasahivi lakini hata picha hatuoni!
 
Back
Top Bottom