Rais Samia Ashiriki Mkutano wa Saudi Arabia na Nchi za Afrika jijini Riyadh, Saudi Arabia

benzemah

JF-Expert Member
Nov 19, 2014
1,504
3,034
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na viongozi mbalimbali waliohudhuria Mkutano wa Saudi Arabia na Nchi za Afrika unaofanyika Jijini Riyadh tarehe 10 Novemba, 2023.

Screenshot 2023-11-10 at 15.13.17.png

Screenshot 2023-11-10 at 15.13.26.png
Screenshot 2023-11-10 at 15.13.41.png
 
Awagawie mlima Kilimanjaro, awape zawadi ya ziwa Victoria pia kuna mbuga nyingi za wanyama zimebaki baada ya kugawa Ngorongornd kwa waarabu wa Dubai awagawie zilizobaki mbona hatuna kazi nazo, aaah nimekumbuka pia kuna misitu kongwe ya Gombe yao awape tu sisi watujengee misikiti kama waliyojenga mwaka jana wakitaka wachukue na Wanyakyusa wanatubanabana tu hapa.
 
hebu soma ulichoandika,na ujitafakari
 
Tuache utani Mama yetu anapendeza sana yani!! Kongole kwa huyo mtaalamu wa mavazi ya mama. She looks great
Biriani hizo za Nyama ya ngamia yenye maviungo yakutosha yenye kunukia na kuleta ladha adhimu kinywani na majuisi ya tende miksa mavipodozi kutoka super markets zilizopo kwenye jengo la burja Khalif!!
 
Tuache utani Mama yetu anapendeza sana yani!! Kongole kwa huyo mtaalamu wa mavazi ya mama. She looks great

..huyo hapo pembeni mbona anaongea sana na Maza? Jamaa amejisahau kabisa kuwa wanatakiwa kupigwa picha.
 
Ndio vitu anavyoviweza.

Kuhudhuria mikutano , kupiga picha , kufungua warsha akiwa na kina Mrisho Mpoto na Mwijaku.
 
Yaani tuna kusanywa kama makumbikumbi kwenye kapu moja mara China, mara U.S, mara Russia, mara Saudia kila kitaifa kilicho tuzidi kijisikia kutupiga na kutu dharirisha basi kinatukusanya kama mende tuna matatizo makubwa katika bongo zetu sio bure hii hali tuliyo nayo sio ya kawaida kabisa tumebaki sisi tu weusi katika jamii zote kwa upumbavu na ujinga.

Wazungu waliisha tuacha toka kitambo, wakafuatia waasia, sasa waarabu nao wanatukimbia tumebaki pekee yetu huku chini kwenye upuuzi, ujinga na upumbavu
 
Awagawie mlima Kilimanjaro, awape zawadi ya ziwa Victoria pia kuna mbuga nyingi za wanyama zimebaki baada ya kugawa Ngorongornd kwa waarabu wa Dubai awagawie zilizobaki mbona hatuna kazi nazo, aaah nimekumbuka pia kuna misitu kongwe ya Gombe yao awape tu sisi watujengee misikiti kama waliyojenga mwaka jana wakitaka wachukue na Wanyakyusa wanatubanabana tu hapa.
ACHA WIVU, ROHO MBAYA NA AKILI MBOVU
 
Back
Top Bottom