Arusha Mjini Mpaka Rombo-CHADEMA

Acha Uvivu

JF-Expert Member
Apr 28, 2011
525
131
Nipo Arusha Mjini, kesho natembelea majimbo ya Chama Kubwa-CDM mpaka Rombo bila uchafu wa magamba.
Hii ndio barabara yangu ya Ushindi. Arusha Mjini (CHADEMA)-Arumeru (CHADEMA)-Hai (CHADEMA)-Moshi Mjini (CHADEMA) hatimaye Rombo (CHADEMA).
Hamna uchafu wa magamba kwenye hii safari, ni red carpet tu la CHADEMA.
 
  • Thanks
Reactions: 3D.
Enhe hivi kweli ukianzia A town,unakuja ARM,hadi Hai,unatinga Ndesa,halafu ah hapa mzee wa Kiraracha kapachafua naingia Rombo, hadi kwa Raila Taveta/Taita (ODM)kwa bwana Mwanzo kamrithi Balala(anarudisha mpira golini kwake badala ya kwenda kufunga kapteni Raila ikabidi amtose ASAP)
 
Enhe hivi kweli ukianzia A town,unakuja ARM,hadi Hai,unatinga Ndesa,halafu ah hapa mzee wa Kiraracha kapachafua naingia Rombo, hadi kwa Raila Taveta/Taita (ODM)kwa bwana Mwanzo kamrithi Balala(anarudisha mpira golini kwake badala ya kwenda kufunga kapteni Raila ikabidi amtose ASAP)

Hadi raha, hii maana yake 2015 kutoka Moshi kuja Dar.itakuwa hivi; Moshi (CHADEMA)-Mwanga (CDM)-Same (CDM)-Korongwe (CHADEMA)....... Ubungo (CHADEMA). Hii itakuwa safari punde tu baada ya Uchaguzi Oktoba 2015.
 
Ningeanzia hata Karatu, bahati mbaya jimbo la Monduli ni la fisadi, Gamba lililokomaa-Lowassa. Huyu atanitia mkosi, hadi nitakapomuondoa 2015. Na safari itaanzia Longido.
Vipi wengine wapi kuna vikwazo vya magamba mnaposafiri?
 
Mkuu umeruka pale Vunjo huwezi ingia rombo kupitia moshi bila kupitia vunjo ... pale yupo mzee Lyatonga -TLP ambao wamepata kura 18 uchaguzi Arumeru mashariki
 
Wasomi wa lindi , mtwara, tabora man deni kwa tz, wapeni shule ndugu zenu kudai haki zao.
 
In maana lile debe lote la ENL kwa mkwe wake limeishia kwa CDM kushinda?

Kukitokea chaguzi zingine zaidi EL na CCM watakuwa wamefilisika. Lasivyo wajifunze siasa safi, bila rushwa. Hadi hapa tumepunguza ruzuku ya chama chao.
 
Jamani jamani chonde chonde mzee wa henessy akisikia haya anaweza kufa kwa presha bure maana mnaweza kusema oh tuanzie Monduli oh tumemshinda mkwewe bado yeye!!
 
Mimi naona sasa majeshi yaelekezwe ikulu kwa 'baba mkwe'!!ili safari ianze Monduli!!
 
Hizi ndo busara za wana CCm, soma hii kauli.
MIMI NI KAMA KIDONDA, LAZIMA NZI (wapiga kura) WAFUATE-Kisyeri Werema Chambiri, CCM Tarime
 
Back
Top Bottom