Arusha mayoral saga, any developments?

Shinto

JF-Expert Member
Dec 6, 2010
1,781
96
Wandugu napenda kuulizia ilie swala la madiwani wa CDM Arusha kuingia muafaka na wenzao wa CCM, tuliambiwa Viongozi wakuu wa CDM waliunda tume kuchunguza kama kulikuwa na harufu ya rushwa.

Nina hakika tume ya Marando ilishakabidhi ripoti kwa Slaa, imeshawekwa public? Nini matokeo na upi uamuzi wa CDM makao makuu? wameamua kuubariki muafaka kimyakimya?
 
Wewe un haraka gani? ulishaambiwa kuwa taarifa ya tume itapelekwa kwenye kamati kuu kwa maamuzi, subiri tu, usianzishe threads zisizo na msingi. CDM hawafanyi mambo kwa pupa.
 
Wandugu napenda kuulizia ilie swala la madiwani wa CDM Arusha kuingia muafaka na wenzao wa CCM, tuliambiwa Viongozi wakuu wa CDM waliunda tume kuchunguza kama kulikuwa na harufu ya rushwa.

Nina hakika tume ya Marando ilishakabidhi ripoti kwa Slaa, imeshawekwa public? Nini matokeo na upi uamuzi wa CDM makao makuu? wameamua kuubariki muafaka kimyakimya?

Kwani unapoambiwa kuwa cdm ni nguvu za soda unafikiri ni uongo? wao ni wakurupukaji tu na ndio maana kila ishu inaishia njiani.unaweza kuorodhesha ni ipi waliyofikia tamati mfano. Hiyo ya arusha imekufa ki aina, maandamano, Nyamongo,posho,shibuda,na nyingine nyingi. sasa kuna topic mpya ya mwanza.
 
Nashawishika kuamini maneno yako mkuu, maana kuna siku 7 na siku 21 waliwahi kuipa serikali na hakuna lolote walilofanya. Hapa naona tunapigwa changa la macho tu!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom