KASHOROBANA
JF-Expert Member
- Jul 30, 2011
- 3,241
- 963
haiwezekani!!!!!!!! Hizo nderemo labda kwao uko bagamoyo, ar big no!! Nae analijua ilo ndo akapita juu kwa juu, uoni serikali yake inawazuia watu ata kujumuika pamoja?? Uoni inavyowabambikia kesi watu wa arusha, uoni matamasha ya dini yakikesha ila wananchi wakithubutu wanabambikiwa kesi, jk hawezi onekana ukohivi akipita arusha kutatokea nini?acheni siasa za uhasama nina hakika jk akija huko sioni kitakachotokea sanasana ninawaomba siku akitua ar mjipange barabarani kumpokea kwa shangwe na nderemo kama enzi hizo lengo ni kuepusha uhasamausiokwisha