Awamu ya pili: Orodha ya wanafunzi waliochaguliwa vyuo mbalimbali nchini 2016/17

Sep 4, 2016
5
4
Habari wakuu,
Kutokana na vyuo vingi kutoa majina ya wanafunzi waliobahatika kuchaguliwa kwenye vyuo husika, wengi wamekuwa wakipenda kujua kama chuo alichoomba kimetoa majina ama La, pia kujua kama naye yumo.

Kupitia uzi huu tutajulishana vyuo vyote ambavyo wametoa majina kwa round mbalimbali na kuongeza list kadiri vyuo vinazidi kutoa majina.

Asante

SECOND ROUND KWA VYUO MBALIMBALI

CHUO KIKUU CHA CARDINAL RUGAMBWA-SAUT BUKOBA 2016/2017

CHUO KIKUU CHA ST.MARKS CENTER 2016/2017

CHUO CHA MIPANGO DODOMA 2016/17

ECKERN FORD UNIVERSITY-TANGA 2016/2017

CHUO CHA MWALIMU NYERERE 2016/17

CHUO KIKUU TUMAINI-DAR(TUDARCO) 2016/2017

CHUO KIKUU ZANZBAR

CHUO KIKUU ST.JOHN

CHUO KIKUU MWENGE

CHUO KIKUU IRINGA

CHUO CHA MIPANGO DODOMA

CHUO CHA IFM

CHUO CHA UDSM,MUCE&DUCE

CHUO CHA MAKUMIRA-ARUSHA

CHUO CHA ARUSHA UNIVERSITY

CHUO CHA STEFANO MOSHI

CHUO CHA MARIAN

CHUO CHA SAUT-MWANZA

INSTITUTE OF ADULT EDUCATION

ARDHI UNIVERSITY SECOND SELECTION

INSTITUTE OF ACCOUNTACY ARUSHA

CHUO CHA KILIMO(SUA) SECOND SELECTION

MAJINA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA CHUO KIKUU RUAHA UNIVERSITY- RUCU 2016/2017 SECOND ROUND KWA KOZI MBALIMBALI

1. Bachelor of Arts with Education
2. Bachelor of Accounting and Finance with Information Technology
3. Bachelor Business Administration
4. Bachelor of Environmental Health Science with Information Technology
5. Bachelor of Science with Education (Mathematics & IT)
6. Bachelor of Science in Computer Science Information System
7. Bachelor of Science in Computer Science Software Engineering
8. Bachelor of Laws

Samahani wakuu hivi institute of social work bado hawajatoa majina ya wanafunzi waliochaguliwa katika chuo chao?
 
Kwa wanaotarajia ,au watakao chaguliwa ardhi university tukutane hapa tujadiliane maswala mawili matatu na pia itusaidie tutakapo kwenda chuo ile rahisi kuyaelewa mazingira haraka
na pia kupata roommates ambao mnaelewana ikiwa tutabahtika kupata hostel maeneo ya chuo

Tuma namba yako kupitia namba 0626698381 au ukipenda unaweza ukaiandika hapa hapa
 
ARU accomodation ni issue tete,
 
Niko ARDHI nawashauri mliochaguliwa ARU ni chuo bora,lakini ni chuo kigum mno usipokuwa makini unaweza ukaishia kusoma semister moja tuu.waliochaguliwa Building Economics wanitafute niwape madesa
KARIBUNI SANA ARU
 
Wadau hivyo vyuo vimeshatoa majina ya second round? Kama tayari naomba link jamani nikayacheki kama bado tupeane up dates kuhusu hivyo vyuo aisee..
 
Back
Top Bottom