Ardhi universty nimewakosea nini??

Lengo la kuweka "ELIGIBILITY STATUS" ni kutoa muongozo katika program ambazo applicant yuko eligible kuchaguliwa, na unashauriwa lubadili programs ambazo umeandikiwa "NOT ELIGIBLE"
sasa mbona kila nikibadili ile neno not eligible aliondoki? Au inabadilika baada ya muda gani?
 
acpobadili nin kitatokea?
 
sasa mbona kila nikibadili ile neno not eligible aliondoki? Au inabadilika baada ya muda gani?

Kwasababu program unayo ombe tena hauqualify kujoin.
Kwani Umefauru kwa kiwango gani na unaomba faculty gani?? Labda unaweza pata ushauri mzuri
 
afu ushauri mwingine ni kwamba kwa sasa majina yashaanza kupelekwa kwenye vyuo sasa ndugu zangu hii tabia ya kubadilisha hizo kozi kwa sasa kwa sababu tunaweza kosa vyuo hivihivi so ndugu zangu tuwe na matumaini na kozi zilizo qualify
 
Asipo badili hatowekwa kwenye mchakato wa kuchaguliwa kwenye hiyo faculty, bali atawekwa kwenye faculty ambayo eligibility status iko eligible

kwa hyo uhakika wa kuchaguliwa kwenye moja ya zile alizoandikiwa eligible upo?
 
afu ushauri mwingine ni kwamba kwa sasa majina yashaanza kupelekwa kwenye vyuo sasa ndugu zangu hii tabia ya kubadilisha hizo kozi kwa sasa kwa sababu tunaweza kosa vyuo hivihivi so ndugu zangu tuwe na matumaini na kozi zilizo qualify

umeyajuaje hayo dogo?majina yatapelekwaje kwenye vyuo na wkt selection bado?
 
hivyo ndo ilivyo kaka kuna ndugu yangu yuko hivyo afu kutokana na iyo check in programme kwa sasa inachukua muda mrefu hii yote ni kutokana na huo mchakato
 
kwa hyo uhakika wa kuchaguliwa kwenye moja ya zile alizoandikiwa eligible upo?

Kama competition katika hizo faculty sio kubwa, jibu ni NDIO lakini kama competition ni kubwa na ufaulu wake ni kidogo jibu ni HAPANA.
 
na wanatumia criteria gani kumuandikia huyu eligible na mwingne not eligible na wkt vigezo wote wamekizi?
 
Wanaangalia matokeo yote ya kidato cha sita na cha nne, pia huangalia na faculty husika inahitaji vigezo gani. Haiwezekani Vijana wa PCB mmoja ana Div II-12 na mwingine ana Div III-13 walio faulu kwa kiwango sawa katika kidato cha nne. eti wa Div III wamwandikie eligible na wa Div II wamwandikie NOT ELIGIBLEA Hii haiwezekani kabisa.
 
how comes mtu anaandikiwa amequalify bcom ya udsm afu anaandkiwa hajaqualify bcom ya udom,na wkt vigezo ni vile vile?
 
BCOM ya UDSM wanahitayi Any two principal pass and subsidiary in Advanced Mathematics or a credit pass in Mathematics in CSEE Lakini BCOM za UDOM wana hitajiA pass of Advanced Mathematics (subsidiary pasa or better) or a credit pasa at CSEE. so utaona kua lazima uaome Advanced Mathematics ili uqualify BCOM ya UDOM lakini sio lazima kwa BCOM ya UDSM.
pitia Students Guide Book 2012/2013 Ujionee
 
sidhani kama unalo lisema lna ukwel,me tangu huu mfumo mpya wa tcu uanze kutumika nimekuwa kila mwaka nawafanyia applications ndugu zangu walioko huko bush,kuna ambao walikua na na dv 3.14 za HGE na wakapata bcom ya udom so ukiangalia hapo suala la maths sio kigezo kinachotumika.ila kwa mwaka huu nimebaki kushangaa coz,niliemfanyia appl ni mtu aliyesoma HGE na kapata dv 1.8,ameomba udsm,sua,mzumbe na udom.udsm na sua ambavyo ndo vyuo vyenye competition kubwa kawa eligible bt udom ambayo huchukua wanafunz hata wale wenye pass ndogo kawa not eligible.kwa hyo me naona kama kuna usanii flani hao tcu wanataka kuufanya hapo.
 
Kama ukisemacho ni kweli basi kutakua na tatizo katika mfumo wa udahili wa wanafunzi(CAS), ama kuna maelezo tunakosa
 
Back
Top Bottom