Ardhi universty nimewakosea nini??

siyo hivyo unajua nilivyo add kozi zile zote za mwanzo zilifutika so ikanibidi ni clear application nilivyoanza kujaza kozi upya ndo matatizo yako hapo kozi haziongezeki itanibidi ni apply mwakani
 
siyo hivyo unajua nilivyo add kozi zile zote za mwanzo zilifutika so ikanibidi ni clear application nilivyoanza kujaza kozi upya ndo matatizo yako hapo kozi haziongezeki itanibidi ni apply mwakani

Test kuwapigia simu watakusaidia
 
Jamani,mimi ndio nahisi kufa kufa,hadi kufikia jana nilikua nimeandkiwa eligible kwenye kozi 3 za udsm na 1 ya sua,ila leo nimekuta kozi moja ya udsm ambayo ni bcom-accountng nimeandikiwa not eligible,kila nkijarbu kuchange inakataa.nahisi kukata tamaa sana wakuu.

huna haja ya kukata tamaa kiasi hcho ndugu mkiwa1..kama umefaulu na umetimiza vigezo,basi tegemea kuchaguliwa kwenye moja ya vyuo ambavyo bado umeandkiwa eligible,by the way hongera sana kwa kuqualify kozi mbili za udsm,maana competition ya hapa huwa ni kubwa sana.
 
I thank God kwa sababu kwa sasa kozi sita zimekubali kuingia kwenye my selected status badala ya tano kama hapo mwanzo..and i hope hii checking in progress ikibadilika HOPE nitakua nimequalify kwenye zilezile kozi zangu nne za mwanzo..
 
Hawa jamaa sijui wana ugonjwa gani Architecture ilikua not eligible nikaiweka ya mwisho saivi nimekuta iko eligible. Duuu Nimechoka na kubadilidhabadilisha Naacha hivyohivyo as long as 5 za mwanzo niko eligible.
 
Thanks to god kama kawaida kozi zangu zote za mwanzo nime qualify..
 
Ivi inatumia muda gani hadi wanakuletea status ya eligible au not eligible?
 
hiv ukikuta zote ni not eligible halafu ukaacha hivyo hivyo bila kubadilisha itakuwaje?
 
akhasante kaka tuko pamoja nilikua na presha mbaya but thank to GOD everythn is good
 
Ardhi wamehusika vipi hapo? Kama una vigezo utapata kama unangojea bahati nasibu, haya.
 
poleni kwa matatizo,mimi naona kupiga simu sio solutions na si dhani kama inaweza kupokelewa kwa nini msiende ofisini kwao pale mikocheni muwa face direct,hata kama upo mkoani mtume mtu akajue solution yake
 
Kozi yenye Not Eligble unaweza kubadili ?

Lengo la kuweka "ELIGIBILITY STATUS" ni kutoa muongozo katika program ambazo applicant yuko eligible kuchaguliwa, na unashauriwa lubadili programs ambazo umeandikiwa "NOT ELIGIBLE"
 
Back
Top Bottom