vipi hii kozi inaitwa Geomatics hapo embu tufafanulie ikoje mkuu...
vp utaratibu wa kuomba kujiunga degree moja kwa moja chuoni, upo?
wadogo zangu mnaopenda kujiunga na chuo hiki nawakarbshen sana MKUU VPI KUHUSU land evaluation
geomatics is one among the best courses offered at ardhi university.. msuli wake sio wa kitoto. kwa kweli no mgumu. lakini una matunda sana.. geomatics inahusu land surveying, upimaji wa ardhi. inadili sana.. kuanzia chuoni utaanza kupata pata vidili vya watu wanaotaka kupimiwa vipande vyao vya ardhi.. kutafuta hati... au kulocate tu shamba lake au kiwanja chake kujua kina ukubwa gani na features zilizomo.. pia kwenye ujenzi wa projects kama barabara,reli, majengo wakati mwingine, waliosoma geomatics wanahusika sana kulocate na kushauri wakati wa kudesign.. advantage ingine ya hii course ni kua ni rahisi kujiairi. capital yako iko kichwani mwako sana sana.. ukimfanyia mteja mmoja kazi nzuri kesho atakutangaza kwa ndugu zake.. hivyo hivyo your network grows. ni uaminifu tu unaohitajika. hayo ni yangu tu mkuu. i hope nitakua nimekupa mwanga kidogo japokua mimi sio surveyor but i have a lot of friends ambao ni masurveyor
Dogo langu kasoma egm anataka aisome iyo course naombeni ushauri wenu
Jamani hakuna somo linaitwa Account. Kuna Accountancy ndilo somo au fani. Account unaifungua benki kutunzia pesa yako au kwa mtoa huduma nayekuhudumia kwa mkopo.mtu alie pata C nne olevel ikiwemo ya math, na six akapata s 3 na C moja ya account, then akasoma dploma ya account TIA na kupata GP ya 3.8! je anaweza kusoma account hapo?
wadogo zangu mnaopenda kujiunga na chuo hiki nawakarbshen sana waweza kuniuliza swali lolote kuhusu chuo chetu utajibiwa bila shaka KARBUN CHUO KIKUU ARDHI DAR ES SALAAM
Wewe ni nani hapo ARU?
Ni nani aliyekuambia kila mtu ni mdogo wako?
Swali langu: Mna courses za Masters ngapi? Majina ya hizo courses, gharama zake?