Ardhi University(ARU) - Special Thread

To say the truththis is the first time I see a programme with eight core courses in a University. These students will be taught like primary school/secondary school kids. They will never be given enough time to research on their own or submit substantial term assignments. I am afraid this programme will produce students who are half-cooked.

Can you tell me the number of credits for each course as well as the number of hours of contact for each credit?

I understnd you a lot bro, and I believe you went to world class school as USA schools,,, credit hours ndo style inayotumika na best schools in the world, but bongo tunapelekeshwa tu madarasani kama primary or secondary na ma course kibao yasiyo na maana...

In america wanajua sana kupangilia higher education na hii imesababisha universities zao kukimbiza sana duniani especially kwenye products zao japokuwa wamarekani wamekaa ki starehe,,, style ya credit and contact hours per semester zinaweka elimu ya chuo iwe nzuri na mwanafunzi to cover everything anayotakiwa ku cover... South africa also use this system but bongo ni bado sana
 
I understnd you a lot bro, and I believe you went to world class school as USA schools,,, credit hours ndo style inayotumika na best schools in the world, but bongo tunapelekeshwa tu madarasani kama primary or secondary na ma course kibao yasiyo na maana...

In america wanajua sana kupangilia higher education na hii imesababisha universities zao kukimbiza sana duniani especially kwenye products zao japokuwa wamarekani wamekaa ki starehe,,, style ya credit and contact hours per semester zinaweka elimu ya chuo iwe nzuri na mwanafunzi to cover everything anayotakiwa ku cover... South africa also use this system but bongo ni bado sana

Huna haja ya kwenda USA, Canada, UK, au RSA. Those who designed the programme should have borrowed a leaf from existing programmes such as UDBs which is just next door, IFM, IDM and Nyegezi. These have been running business courses for many years. Believe me, programmes such as those at UDBS are very good although delivery and technology may sometimes be not that good. New programme designers need to be innovative but not bizarre.
 
Wanachuo 900 wamechaguliwa kujiunga na chuo kikuu ardhi, 2013/14, uwezo wa hosteli ni vijana 461 tu hivyo vijana 439 kulazimika kujitaftia makazi nje ya chuo. Taratibu za kuwataftia waliokosa makazi husimamiwa na serikali ya wanachuo ARUSO, jitahada ambazo mpaka sasa zinafanyika. Gharama za hosteli chuoni ni Tsh 120,000/= kwa semester ambapo nje ya chuo inategemea na huduma husika zitakazopatikana hapo ila si chini ya Tsh 80,000/= kwa mwezi zidisha miezi 4 jumlisha nauli na chakula. Hivyo gharama za maisha kwa wanachuo ziko juu sana ukilinganisha na boom la mkopo 75,00/= ambalo si wote wanaokopeshwa, hivyo basi kutokana na hayo hupelekea ile hali ya kubebana yaani ukipata bed basi unamshirikisha na rafikio kushare cost na kulala 2 kitanda kimoja. kwa ARU room moja ni watu wawili tu lakini utakuta kuna vijana 4 katka vitanda viwili, wawili katika korido kati ya kitanda nakitanda na wengine wawili nje balconi area ambapo hawa hujinunulia magogoro na kuingiua nayo kinyemela usiku chuoni na kufanya idadi ya vijana 8 hadi 10 chumba kimoja, kinyume kabisa nataratibu na sheria za chuo. Vijana wanateseka sana suala zima la accomodation kutokana na hali ngumu kimaisha na mikopo kutokutosheleza. kupanga mtaani ni Tsh 60,000/= chumba, nje ya umeme na maji. hali hii ni tofauti kabisa na UDOM hivo changamoto ni nyingi kwa jiji la dar es salaam na vyuo vyake visivyo na hosteli za kutosha.

Hali halisi iko kama hivi nanukuu "
Students may be offered accommodation in the University Halls of Residence or any hostel or residence rented to the University. Where campus or hostel accommodation is not available to all for residence in the campus halls or in University rented hostels, priority shall be given to students with disabilities and such other categories as Council shall determine from time to time;" cha kushangaza ni kwamba unakuta vijana wa first year wanakosa haki yao ya kuishi hostel alafu vyumba vingi vinachukuliwa na continuing students, kinyume na utaratibu. Hoja yangu ya msingi ni nani huwasajili kukaa hostel wakati hawastahili? Ikiwa ni wadeni anatoa chance hiyo basi muda umefika wa sisi wanaARU kukomesha kitendo hiki cha kuchukua rushwa na ukatili na unyanyasaji, wanachuo wanaoendelea hawapaswi kukaa hostel kwa mujibu wa sheria za ARU anavyoanza mwaka wa pili wa masomo anatakiwa kukaa nje mtaani ili apishe wageni first year wasiojua mikiki ya ugumu wa makazi mjini dar es salaam hivyo basi ni vema sheria na taratibu zikafuatwa kama sivyo tunakaribisha vurugu na migomo isiyokuwa na logic, Nawaomba first year wote mliochaguliwa kujiunga na chuo hiki mnapigania haki yenu ya msingi ya kukaa hostel la sivyo hata siku ile ya kuripoti utalala nje. nakumbuka mwaka 2011 vijna 20 na mabegi yao walilala nje kwa siku nne kwenye vimbweta maarufu kwa mzee mti ati hawajapokelewa bado, safari hii ikijirudia tutaandamana kupinga ulebanoni huo unaosababishwa na njaa za mawadeni kula hongo toka kwa continuing students na kuwaacha wadogo zetu wanateseka bure.
 
We unafikiri kugoma ndio suluhisho la kutatua tatizo? sikulaumu sana najua ni kwa sababu hukwenda jkt!

Kwenda jkt hakutawapa chance ya accomodation Ardhi University, elewa nini kinakwamisha haki ya first year kutokaa hostel. Nadhani wewe hujawahi lala balcon nje na pengine adhaa za acomodation vyuoni huzijui
 
We unafikiri kugoma ndio suluhisho la kutatua tatizo? sikulaumu sana najua ni kwa sababu hukwenda jkt!

Migomo mingine ni Legal, kama huu anaousisitiza .. Ndo maana mkaenda Jkt ili mjue kudai haki zenu si kuogopa kudai haki yako kama wewe.. kwa lugha ya kijeshi tunasema haujaiva Pot, rudi depo
 

Kumbuka kufungua akaunti yako katka benki ya CRDB kwa ajili ya kupitishia mkopo wako kwa urahisi na mapema zaidi, matawi mengine ya benki km NMB, NBC, AKIBA, EXIM, huchelewesha boom eti mpk check immature kwanza hali ambayo hupelekea wanachuo kusota muda mrefu bila pesa
 
Last edited by a moderator:
Migomo mingine ni Legal, kama huu anaousisitiza .. Ndo maana mkaenda Jkt ili mjue kudai haki zenu si kuogopa kudai haki yako kama wewe.. kwa lugha ya kijeshi tunasema haujaiva Pot, rudi depo

Ni ukweli kabisa mkuu, nawaombeni ujuzi mliopata jkt tuutumie sawia kidiplomasia kuwapa haki ya msingi first year kukaa hosteli, na contiuing student warudi mtaani, na wadeni aache ubadhilifu kusajilisha vijana wanaoendelea ( continuing students) kukaa hostel kinyemela maana ndiye anaetoa funguo na godoro, pia serikali ya ARUSO kupitia waziri wa accomodation na waziri mkuu wasimamie mchakato wa ugawaji vyumba kwa ufanisi zaidi tena msikubali kurubuniwa na wadeni teteni maslahi za vijana wenzenu first year.
 
tofauti kubwa ni kuwa,ile ya Mzumbe ni Business Accounting and Finance.,ile ya Ushirika ni Bachelor of Arts in Accounting and finance wakati ile ya Ardhi ni BACHELOR OF SCIENCE IN ACCOUNTING AND FINANCE...tofauti kubwa na ya msingi zaidi ni courses zinazopatikana ndani ya Kila facculty...BAF ya Ardhi ina jumla ya courses 51 kwa miaka mitatu wakati Mzumbe wanazo 25 kwa miaka mitatu...
aise mbona wamegawanya kama topic tu kuwa somo.da
 
Course nane kwa semister!!sioni sababu kwa mtu wa a/c and finance asome micro &macro-economics afu tena aje asome econometrics.hyo econometrics ni ya nin sasa kwa mtu wa baf?nadhan walio andaa hyo course structure hawakua makini,wamewajazia wanafunz masomo meng ambayo hayana hata maana.
econommetrix ni course iayowasaidia ecoomist,kwa sisi wa baf nadhan economics in general inatakiwa
 
Ardhi University, The pride of Afrika.Ninachojua pale kuna fani za maana sana zinafundishwa:BSc.Architecture, BSc.Geomatics and Geoinformatics,BSc.Building Economy,Land management and valuation,BSc Urban and Regional planning na BSc.Real estate Studies.Nenda Morogoro usome Certificate ya Geomatics,Kisha diploma ndio uende Ardhi utapokelewa.
 
wadogo zangu mnaopenda kujiunga na chuo hiki nawakarbshen sana waweza kuniuliza swali lolote kuhusu chuo chetu utajibiwa bila shaka KARBUN CHUO KIKUU ARDHI DAR ES SALAAM
 
Back
Top Bottom