Rabi wa Leo
Senior Member
- Mar 5, 2012
- 104
- 25
Ahsante kwa taarifa mkuu!!!kozi zao sijazipenda,naoana kuna masomo mengi tu ya kupotezeana muda na kulazimishana SUP!Sasa hiyo PROGRAMMING ya nn sasa kwa muhasibu??????Lazima migawanyiko za fani mbalimbali ueshimiwe bwana.Mtu mmoja huyohuyo asome Programming,account n.k!!!!!unaujua mziki wa C wewe????????
Wakati unapowaza kusoma unaweza kuona ugumu kwa sababu mara zote wanafunzi hatupendi kujisumbua.,bt unapoingia kazini kuanza application ya elimu ndipo unapouona umuhimu...Hizo course sio nyingi kama unavyosema,kumbuka unasoma almoast 8 au 9 kwa semester na zote unafanya practise zaidi,kwa hiyo kwa wenye nia wanaweza...