Apson: The Beginning of TISS's Failure

TISS walihusika na kifo cha Kombe


Kwenye kesi ya Civil Familia ya Kombe, against serikali mahakama iliiiona serikali iko liable na kile kifo na ikaaamuru serikali iwalipe familia ya kombe shillingi millioni 300!
 
Lol!!!

Naona mjadala umechukua turn nyingine kabisa....Ila mimi niko interested kujua kulikwua na umuhimu wowote wa kuisaini ile TISS Act '96? Tukishapata ilo jibu tutakuwa kwenye position nzuri ya kufanya comparison ya ufanisi wao kuanzia awamu ya kwanza mpaka leo.
 
Inaelekea ile act ilikuwa ni moja ya njama za mkapa na wenziwe ili waweze kuitafuna vizuri nchi yetu, kumbuka mkapa wakati anaingia msatafu alitakiwa ku-retire lakini makapa akaamua kumrudisha anyways!
 
Kwenye kesi ya Civil Familia ya Kombe, against serikali mahakama iliiiona serikali iko liable na kile kifo na ikaaamuru serikali iwalipe familia ya kombe shillingi millioni 300!

Ahsante. Lakini hii haina maana ni TISS ndio walimuua. Serikali inaweza kuwa ilikutwa na pasiwa kwa sababu walio muua ni polisi wenye uniform za Serikali.

Najua jambo lolote linaweza kufanywa na yeyote yule. Nani alijua Yuda atahusika kumuua Mwalimu wake. Lakini ubaya wa nadharia za njama ni kwamba kila mtu ana zake:

Mkapa ndie aliamuru Kombe auawe. Kisa, alikuwa ananufaika na dili za kupitisha silaha kwenda Congo. Serikali ikawa karibu kushtukiwa na jumuiya ya Mataifa. Ikaona hii ni noma kubwa mno kwa Tanzania. Katika kutatua migogoro ya EA na Kati kuwepo kwetu mstari wa mbele kungeoneka ni kimbele mbele cha kinafiki tu.

Hakukuwa na jinsi ya kumuadhibu. Huwezi kumsweka Ukonga mtu aliyekuwa anatunza kila siri ya nchi. Inawezekana hata namba za makufuli ya mageti anazijua. Atawapa wafungwa wenzake 'michongo' yote. Huwezi kumfukuza kazi ukamuacha uraiani na hasira wakati anajua Mkapa anayo yafanya taa zikizimwa. Ndio wakuu wakaamua 'kumpeleka pwani.'

Lakini hii ni nadharia ya njama tu, siwezi kuitetea hadharani. Ni mimi ndio nimeinunua katika nyingi watu walizo jaribu kuniuzia. Na siwezi kufunga kichwa changu kwenye hii nadharia peke yake. Bado natamani ningejua ukweli.
 
Sidhani kama ni 'good thing' kwa sababu 'ana claim.' Hata Kibweterere wa Uganda aliyejichoma moto na waumini wake alikuwa ana claim. Adolf Hilter pia alikuwa ana claim ndani ya Nazi Germany.

Hata yule babu nae alikuwa ana claim, lakini ningekuwa karibu na nae enzi zile angenifunga kwa sababu nisingekubali vyote anavyosema kwa sababu ana claim. Huyu mtu wetu hapa analijua hili sana, lakini anaendelea kuwa hivyo kwa sabau ana claim!

sasa ku "claim" kwangu kunakuwa tatizo ila ku"claim" kwenu juu ya ku"claim" kwangu hakuna tatizo? Yaani, kuna mtu mwenye mawazo yaliyofungwa humu kama YNIM? Ni lini yeye kakubali zuri lolote la Nyerere? Mtu ambaye hata kusikia jina la Nyerere anasikia kizunguzungu anakuja na mawazo ya kudai mtu mwingine ndiyo amefunga mawazo yake? Sasa chungu kikiita sufuria nyeusi kweli vinaweza kuchekana?

YNIM kwa vile hajui kujenga hoja ni rahisi kwake kuja na kejeli na maneno ya dharau ilikulazimisha hoja zisizo hoja. Hata hivyo tuko hapa ili kumuonesha njia ili hatimaye aanze kuangalia vitu kwa kutumia rational mind siyo emotions za "babu yangu alinyang'anywa nyumba na Nyerere, ndio maana namchukia Nyerere"!

Pole pole tutafika tu.
 
hahaha.. ndiyo jamaa aliniintroduce kwenye kupenda mazingira na kuwajibika sana. Sijawahi kuona mtu anafanya kazi kama yule jamaa... unajua bariadi ingekuwa jangwa kama jamaa asingewakoromea watu kupanda miti kabla haijawa fashion..
 
Kwi kwi kwi!!!! Wakati mwingine JF mnachekesha kweli kweli.

Wacha nijaribu kuweka facts ninazozijua:

Ni kweli Mwang'onda ni mtu wa Mbeya kwa jina. Nasema kwa jina kwasababu
Apson alikuwa na uhusiano mdogo sana na mkoa wa Mbeya. Yeye kwa jina kwa muda mrefu anajulikana kama Apson Cornel, alizaliwa Tabora kwa baba toka Kyela, Mbeya na mama Mnyamwezi.

Babake Apson alienda Tabora kwenye mashamba ya Tumbaku akiwa kijana na hakurudi tena Kyela. Hata alipofariki alizikwa huko huko Tabora.

Apson alifika Kyela kwa mara ya kwanza akiwa ni mtu mkubwa. Kyela alikuta ukoo wake wote umeisha na alimkuta shangazi yake tu na akamchukua na kumjengea Mbozi.

Ameanza kujihusisha na mambo ya Mbeya hasa baada ya kuwa mkubwa hapo usalama wa taifa, ndio akaanza kujichanganya zaidi na zaidi na watu wa kwao.

Yeye makazi yake sasa ni Mbozi ambako ana shamba kubwa la kahawa nafikiri na mahindi. Kyela ana nyumba tu na biashara na rafiki zake wakiwemo mkuu wa mkoa na wale vigogo wa zamani wa jeshi la polisi.

Sasa hapo ndipo usemi wa kwamba kajaza watu wa Mbeya, napata kigugumizi kuuamini.

Tukija kwenye urais 2010. Apson alifanya double act, huku alikuwa anonyesha anamuunga Malecela kumbe kichini chini anamuunga Muungwana. Hakuwa na uhusiano kabisa na Mwandosya na mpaka sasa yeye ni kundi moja na Mwakipesile, mkuu wa mkoa wa Mbeya. Ondoa kabisa wazo la Mwakyembe na Apson, hayo ni makundi mawili ambayo ni paka na panya. Kwa taarifa tu hata
biashaya ya akina Apson pale Kyela ambayo ni hotel ya maana inaitwa Kyela Resort, Mwakyembe yuko tayari kwenda kulala nje kuliko kulala pale.

Hapo kwa mara nyingine naona facts zako sio sahihi. Mkuu usitulishe sumu, wakati waungwana wa JF wanajua ni sumu.

Hata jina la Mwang'onda kaanza kulitumia sasa labda kama njia ya kumsaidia Thom ili akubalike pale Mbeya mjini.

Hizo appointments nyingi zinatoka wapi wakati yeye sio mkurugenzi tena?

Acheni kuendeleza mambo ya ukabila hata mahali ambapo hakuna facts zozote zinazoonyesha kuna ukabila.

Hayo ya Mwamunyange siku nyingine, ila huyo mkulu hata watu wa Mbeya wanamwogopa, haingiliki, sasa mbona unataka naye kumhusisha na ukabila?

Yaani mtu akiitwa Mwa... tayari ni mkabila?

Makundi yamefukiwa na Task Force ya watu wa Kusini,Luhanjo hatoki Mbeya ila yumo kwenye kundi la hilo. wako watu wengi wanaenda kwao ukubwani na wanakuwa na ukabila au ukanda. kuna watu hawajafika kwao na wanafanya mambo ya kupendelea kwao.

wewe umesema uko UK jee hujaona kuna makundi mbalimbali ya DIASPORA hasa Marekani? watu hawajafika kwao kama ni Ghana au Nigeria na wanafanya mengi ya kupeleka maeneo yenye asili nao?
Oprah kaenda ukubwani South Africa jee umeona project anazozipeleka akiamini ni kwao?

Apson kaondoka Uslama huku akiwa amezaja watu wa MBEYA kila kona na hata kutokuwepo kwake hakumzuii kufanya mikakati na Luhanjo.

Ikizingatiwa Luhanjo alipata post ile kwa influence ya Apson.

Nyerere hakuwa mwenyekiti wa Taifa wala rais 1995 lakini alifanikiwa kumpenya Mkapa kuwa rais wetu. Ukabila upo na watu wa Mbeya ni nambari one kiasi cha kuwekewa Tume wakati wa Mwaikambo na Bima.

umejichanganya kwa kusema kuwa ni mtu wa Tabora wakati unasema kuwa project zake ziko Mbeya. kama hana uhusiano na Mbeya mtoto wake angegombea Tabora au Dar?
 
Luhanjo naye ni kutoka Mbeya?....duuhh hii kali.........

Naona kali ni yako. soma mstari wangu wa kwanza hapo juu ndio uhukumu.kwa taarifa yako anatoka Iringa ndio maana nikasema kuna kina SANGA ambao hawana uwezo na wana tuhuma za wizi wa kuaminika wamepewa ukurugenzi LAPF.
 
Naona kali ni yako. soma mstari wangu wa kwanza hapo juu ndio uhukumu.kwa taarifa yako anatoka Iringa ndio maana nikasema kuna kina SANGA ambao hawana uwezo na wana tuhuma za wizi wa kuaminika wamepewa ukurugenzi LAPF.

......hahaha!!.....bahati yako umewahi ku-edit....na mimi kosa langu siku-quote ulivyoandika awali......usifikiri sikuona kosa ulilolifanya......anyhow.....siku hizi umebadilika sana......atleast you write sense...keep it up!!
 
2rf5ut4.jpg

Wastaafu wetu wa vyombo vya ulinzi....walifanya nini kwenye nafasi walizoshikilia?
 
2rf5ut4.jpg

Wastaafu wetu wa vyombo vya ulinzi....walifanya nini kwenye nafasi walizoshikilia?

Kuuliza si ujinga, wa kulia ni nani? Hivi huyu mkuu wa katikati, yuko wapi siku hizi? Atakuwa ametulia sana maana hakuna nyepesi nyepesi zake zinazovuma mitaani.
 
Wa kulia ni Waitara, huyo wa kati kati si unajua kuwa muungwana alimueweka kifua, sasa hivi anatanua tu, anaishi mahali panaitwa Saba Saba, kijiji ambacho ni next kutoka kwenye kijiji changu kinyerezi, hapo anapoishi ni matusi matupu ya jeuri ya fweza mkuu, yaani taa za umeme mpaka kwenye miti, jirani zake wengi hata taa ndani ya nyumba hawana,

anamiliki hospitali moja ya nguvu sana hapa bongo, na miradi mingi sana ikiwa ni pamoja na ufugaji, na huko nje nasikia ana mapesa mengi sana, maana mtoto wake mmoja aliwahi kupatikana na dola laki tano wakati ule wa sakata la majambazi na wauza unga ambazo zilihamishiwa kwenye account yake ghafla, lakini nasikia kuna mkno mzito uliowazuia wachunguzi kuendelea zaidi.
 
Wa kulia ni Waitara, huyo wa kati kati si unajua kuwa muungwana alimueweka kifua, sasa hivi anatanua tu, anaishi mahali panaitwa Saba Saba, kijiji ambacho ni next kutoka kwenye kijiji changu kinyerezi, hapo anapoishi ni matusi matupu ya jeuri ya fweza mkuu, yaani taa za umeme mpaka kwenye miti, jirani zake wengi hata taa ndani ya nyumba hawana,

anamiliki hospitali moja ya nguvu sana hapa bongo, na miradi mingi sana ikiwa ni pamoja na ufugaji, na huko nje nasikia ana mapesa mengi sana, maana mtoto wake mmoja aliwahi kupatikana na dola laki tano wakati ule wa sakata la majambazi na wauza unga ambazo zilihamishiwa kwenye account yake ghafla, lakini nasikia kuna mkno mzito uliowazuia wachunguzi kuendelea zaidi.

Asante mkuu FMES,

Kumbe huyo ndiye Waitara! Nilizoea wakuu wa majeshi waliozeeka kabisa. Naona Waitara kaacha akiwa bado ana nguvu sawa tu na Mboma.

Huyo mheshimiwa wa kati hajui kula na vipofu, angewawekea na majirani umeme, leo hii sifa zingelikuwa zinamwagwa mpaka hapa JF.

Tatizo la TZ hawa waheshimiwa huwa wanakuwa na jeuri kubwa sana.
 
Kwa jinsi mambo yanavyokwenda tunaweza kufananisha hii issue na ya Vladimiro Lenin Montesinos Torres?
 
2rf5ut4.jpg

Wastaafu wetu wa vyombo vya ulinzi....walifanya nini kwenye nafasi walizoshikilia?
Icadon,

Kwenye ile thread ya RO na TISS tulivyokuwa tunauliza ni vipi TISS iliachia tukaingia mikataba mikenge na hata nchi kuhujumiwa, kuna watu ambao leo hii ni vinara kumkaba koo Ballali walisema jukumu la kulinda maslahi ya uchumi si la TISS.

Sasa jiulize je kama hivyo ndivyo si jukumu lao, basi kwa nini TISS wamtafute Ballali au waanzishe uchunguzi kuhusu Ballali?
 
Back
Top Bottom