Apigishwa mbizi kwenye dimbwi la maji ya barabarani kwa kukutwa katinga sare za jeshi

Wote wehu mjeda na huyo mwenzake ndo mana nimewaambie mnipe kifungu kina chomruhusu huyo mwanajeshi kufanya hayo mnazunguka go straight to the point utetezi wenu ni side moja tu siko hapa kumtetea yoyote

Kama kila kosa litaenda mahakamani unafikiri magereza yatatosha,na isitoshe wengine ni vijana wadogo ujana tu unawasumbua,wakionywa wanarekebishika,sasa we unataka huyo jamaa akanyee debe,na huko jela ikiamuriwa na mahakama kuwa afungwe unafikiri kuna raha.Acha mambo mengine yaishie hukuhuku mtaani.
Nakumbuka mara moja mjeda mmoja alisema ni upuuzi kumpeleka mahakamani na akahukumiwa kifungo cha miezi sita mtu aliyeiba kuku mmoja.Mtu kama huyo unampa somo ambalo litamfanya awe mwema bila kumpeleka mahakamani.
 
Angekuwa ni polisi ndio amefanya kitendo cha kama huyo mjeda, story ingekuwa ni tofauti kwa kutoa lawama kwa polisi lakini kwa mjeda inaonekana kafanya sawa wakati haikubaliki kabisa hasa ukizingatiwa zilizovaliwa ni nguo zinazofanana na za jeshi

Polisi angetumia fursa ya kuchukua chochote kwa huyo jamaa kitu ambacho ni kibaya zaidi.Rishwaaa
 
Kwanza hii ni against human right na nchi hii inaendeshwa kwa sheria hakuna aliye juu ya sheria kama kakosa kuna vyombo vyakusimamia sheria huyu askari inabidi achukuliwe hatua za kisheria dhidi yake kwani kumnyanyasa raia ni kosa la kisheria!
Hata mi nashangaa watu kushabikia ujinga huu, haya mambo ndio yanafanya watu kuchukua sheria mkononi kama yeye
 
sasa we unaezijua sheria kavae kombati halafu wakija wasomee sheria zako!

Wa kuchukuwa sheria sio mimi acha ushabiki, mamlaka husika zipo na watu wanalipwa mishahara kwa ajiri ya ujinga alioufanya huyo mwanajeshi. Nani kakwambia tunapimana nguvu, I can suppose you thinking capacity to be low maana unaamini katika nguvu badala ya hoja
 
Hv huyo jamaa anayepata shuruba hakuonwa na raia wengine kabla ya huyo mwanajeshi?huo ulinzi shirikish mbona hatuutimiz mana ilitakiwa aonywe toka anatoka nyumban kwake
 
uvunjaji wa haki za binadamu
Mkuu nimeangalia hiyo inayosemekana ni cdress ya jwtz ni mtumba tu! Jwtz hawana cdress yenye mabaka meupe! Huyo askari ni muhuni tu anatafuta sifa na ameshindwa kuelewa hadi anamuadhibu aliye muajiri! Na ninawashangaa hao wa Tg walivyo bung'aa bila kumsaidia huyo mlalahoi! Mamlaka husika zimchukulie hatua stahiki huyo muhuni ili liwe funzo kwa walio wahuni kama yeye!
 
Kama kila kosa litaenda mahakamani unafikiri magereza yatatosha,na isitoshe wengine ni vijana wadogo ujana tu unawasumbua,wakionywa wanarekebishika,sasa we unataka huyo jamaa akanyee debe,na huko jela ikiamuriwa na mahakama kuwa afungwe unafikiri kuna raha.Acha mambo mengine yaishie hukuhuku mtaani.
Nakumbuka mara moja mjeda mmoja alisema ni upuuzi kumpeleka mahakamani na akahukumiwa kifungo cha miezi sita mtu aliyeiba kuku mmoja.Mtu kama huyo unampa somo ambalo litamfanya awe mwema bila kumpeleka mahakamani.

It doesnt matter ndo mana zikawepo na kuna utaratibu wa kufuata huwezi kuvunja sheria ukisingizia eti kila kosa si lazima liende mahakaman it doesnt make sense ndo maana ya utawala wa sheria because no one is above the law kila mtu akiamua kuishi atakavo na kujichukulia sheria kisa makosa madogo yasiende mahakamani itakuaje think out of the box dude
 
I like this,, mmwahh! Brilliant.
 
Hehehehe, hawa wajeda wanawashwa tu.
Wapelekeni huko Syria, Libya, Central African Republic wapashe jamani!

Hawa ndio inatakiwa wachukue nchi miaka mi wili tunutaone tutakavyoheshimiana mjini sema hapa kaonewa mlalahoi wa watu tu, sijui kama ana ubavu wa kumfanyia hivyo mtu aliyeshuka kwenye evoque yake, katinga rayban sunglasses, kaptura ya jeshi na na kiatu cha hush puppy kwa chini. Sijui.
 
Noted.
Wapelekwe SYRIA.
WANADEAL NA MAMA NTILIE.
SHAME.
 
Mambo ya kijinga haya, kwani hakuna sheria, acheni shabikia ujinga
Kama ni ujinga usithubutu kuvaa na yeyote utakayemuona amevaa umuonye maana hiyo adhabu aliyopewa huyo kijana ni ndogo sana. This's just a simple advice I give.
 
Back
Top Bottom