Apigishwa mbizi kwenye dimbwi la maji ya barabarani kwa kukutwa katinga sare za jeshi

Mpumbav na mji.nga ni wewe takashi, kosa linabaki kuwa ni kosa tu, mahakamani ni utaratibu tuliojiwekea kwenda kuthibitisha kisheria kwamba kweli mtu katenda kosa.

Now turudi nyuma kwenye hii kesi ya mvaa magwanda ya jeshi mtaani..... wewe hauoni kosa hapo unataka kumpeleka mahakamani ukathibitishe nini. Wapumbavu kama ninyi mmekuwa wengi ndio mnaofanya hata mijitu mijinga kama hii kuendelea kufanya ujinga kwa kisingizo cha mpaka mahakama ithibitishe kwamba kukutwa na sare za jeshi ni kosa.

Pumbav sana wanaovaa sare za Majeshi yetu wakiwa wao si askari, kama wanaona zinawapendeza wajeda basi wa apply wajiunge na majeshi y. Wajinga kabisa, mnataka kila kitu kiende mahakamani kuthibitishwa, mnaakili kweli ninyi ama wehu tu.

Kweli Jamiiforums imefanya makosa kuto dadisi uwezo wa wachangiaji...Hapa mahali pamegeuzwa kuwa jukwaa la wajinga, aibu sana. Siku ukimkamata mwizi hakumu yake iwe nini au na wewe ukamwiibie? Pumbavu mkubwa wewe!!!
 
Wapumbavu ni wengi, wewe ukiwa mmoja wao. Ni ngumu kupambanua mambo ni kisingizio chenu cha haki za binadam. Tafuta namna ya kulimaliza tatizo papo kwa papo ikibidi kama huyo askari alivyoamua kulitatua tatizo.

Hata mvaa magwanda unataka apeleke mahakamani, huu uwendawazim sasa na nadhani wendawazim ni wengi sana. Ndo maana mnatuletea ushoga kwa ujinga wenu.
 
ignored....
 
Huyo mwanajeshi ni mkuda sana, tatzo la jeshi letu nidhamu inadhidi kushuka hapo ni kosa, kwa nn hakumupeleka sehemu inayostahili,pili halafu wanajiita jeshi la wananchi???? Huko kuna kumejaa rushwa tupu, siku zote hakuna aliye juu ya sheria

We kweli hamnazo, wangekukaba na hizo sare ungesema wanajeshi wanakodisha nguo kwa majambazi.!! ungempongeza huyo poti kwa kazi nzuri ili huyo aseme amepata wapi mavazi ya kijeshi? sio unaropoka tu..!!
 
Back
Top Bottom