apartment

xkamzy

Member
Mar 27, 2011
61
11
Niko Dar es salaam kwa muda wa miezi mitatu nilikuwa nahitaji apartment or chumba ambacho ni cha selfcontained kiwe na kitanda + godoro, budget yangu ni Tsh 300,000/= kwa muda wote wa miezi 3. Napendelea kiwe kinapatikana maeneo ya magomeni mapipa kwelekea mjini ya kariakoo or posta....
Mawasiliano!!
0713294699 or 0754542300
 
Back
Top Bottom