ExpertBroker
JF-Expert Member
- Jun 1, 2009
- 454
- 107
- Thread starter
- #21
Na nyie watanzania hebu tumieni akili bana, kuweni wazi mnapopanga biashara kama hizi, ni wazi wateja wenu ni wageni au mafisadi!
Uyasemayo yana ukweli ndugu, lakini thamani ya nyumba ama makazi bora si matofali ama cement na mabati! Ni eneo husika! Ndio maana ukienda maeneo ya Oysterbay utakuta viwanja viwili vinafanana kwa ukubwa, kimoja kina nyumba tena ya ghorofa na kingine hakina, lakini baei ziko sawa! jiulize kwa nini? People are buying location, not brick and mortar! Ukumbuke pia kwamba maeneo mengi ya Dar es Salaam hayako planned (over 70%) ndio maana bei za maeneo haya zinakuwa juu! Hiyo ndiyo hali halisi, na si mimi!
Kuna watanzania wanalipa hata mara tano na zaidi ya hiyo, na wanalipwa mishahara mikubwa tu, na wengine wanapagishiwa na ofisi