Waafrika tumekuwa brainwashed sana, watumwa wa akili, hata wahusika wanatushangaa

Nkobe

JF-Expert Member
Feb 17, 2013
2,162
3,162
Sisi Waafrica ni watu wa ajabu kabisa, kuna mambo tunafanya, ukitizama ni aibu tupu. Unakuta jitu limetokea huko Kigoma, Lindi, nk, halafu linavaa vazi ambalo kwa akili ya haraka ni utumwa wa akili. Hivi tangu lini wewe Muafrica wa Kigoma ukawa na utamaduni wa kuvaa vazi la liitwalo Thobe na Gutra? Kimsingi vazi hili ni kwa ajili ya kujikinga jua na hali mbaya ya jangwani

Each citizen of the Arabian Peninsula needs clothing that can shield them from the scorching sun and sandstorms and also keep them warm in the colder months. Plain clothes with a head covering, like a turban or a headband, have proven to be a practical and smart way for people to deal with the harsh natural environment they have had to deal with in order to survive

1711030056255.jpeg
 
View attachment 2940912
kama wewe unatembea uchi, hiyo imekaa poa, lakini kama unavaa nguo za aina yoyote na wewe umekuwa brainwashed
hiyo siyo asili yetu kuvaa nguo, zimeletwa na hao wageni
 
Sisi Waafrica ni watu wa ajabu kabisa, kuna mambo tunafanya, ukitizama ni aibu tupu. Unakuta jitu limetokea huko Kigoma, Lindi, nk, halafu linavaa vazi ambalo kwa akili ya haraka ni utumwa wa akili. Hivi tangu lini wewe Muafrica wa Kigoma ukawa na utamaduni wa kuvaa vazi la liitwalo Thobe na Gutra? Kimsingi vazi hili ni kwa ajili ya kujikinga jua na hali mbaya ya jangwani

Each citizen of the Arabian Peninsula needs clothing that can shield them from the scorching sun and sandstorms and also keep them warm in the colder months. Plain clothes with a head covering, like a turban or a headband, have proven to be a practical and smart way for people to deal with the harsh natural environment they have had to deal with in order to survive

View attachment 2940912
Sioni shida kwani ana tofauti gani na kuvaa suti na tai? Au judge kuvaa lile joho na nywele kama babu au wewe kuvaa suruali badala ya kaniki.
Sote style za mavazi tunazovaa ni za kuletwa sasa kwanini uone anayevaa kama mwarabu ndiye kakosea wewe uliyevaa suruali, shati na tai uko sawa?
 
Sisi Waafrica ni watu wa ajabu kabisa, kuna mambo tunafanya, ukitizama ni aibu tupu. Unakuta jitu limetokea huko Kigoma, Lindi, nk, halafu linavaa vazi ambalo kwa akili ya haraka ni utumwa wa akili. Hivi tangu lini wewe Muafrica wa Kigoma ukawa na utamaduni wa kuvaa vazi la liitwalo Thobe na Gutra? Kimsingi vazi hili ni kwa ajili ya kujikinga jua na hali mbaya ya jangwani

Each citizen of the Arabian Peninsula needs clothing that can shield them from the scorching sun and sandstorms and also keep them warm in the colder months. Plain clothes with a head covering, like a turban or a headband, have proven to be a practical and smart way for people to deal with the harsh natural environment they have had to deal with in order to survive

View attachment 2940912
Sasa huyo ulomweka hapo ana akili?
 
yaan hili jamaa ndo litumwa kuvaa kama muarabu ndo linajiona ndo bora
 
Hamna uhusiano na uislam Uturuki,iran kuna waislam ushaona wanavaa kama saudia!!

mtumwa ww hufai kuwa huru
Kwahiyo ww hapo ulipo ume vaa majani na makuti ya mti maana hilo ndo vazi la asili la waafrika.
 
Back
Top Bottom