Aparments Zinapangishwa Kunduchi!

Na nyie watanzania hebu tumieni akili bana, kuweni wazi mnapopanga biashara kama hizi, ni wazi wateja wenu ni wageni au mafisadi!

Uyasemayo yana ukweli ndugu, lakini thamani ya nyumba ama makazi bora si matofali ama cement na mabati! Ni eneo husika! Ndio maana ukienda maeneo ya Oysterbay utakuta viwanja viwili vinafanana kwa ukubwa, kimoja kina nyumba tena ya ghorofa na kingine hakina, lakini baei ziko sawa! jiulize kwa nini? People are buying location, not brick and mortar! Ukumbuke pia kwamba maeneo mengi ya Dar es Salaam hayako planned (over 70%) ndio maana bei za maeneo haya zinakuwa juu! Hiyo ndiyo hali halisi, na si mimi!
Kuna watanzania wanalipa hata mara tano na zaidi ya hiyo, na wanalipwa mishahara mikubwa tu, na wengine wanapagishiwa na ofisi
 
Tatizo kunduchi mbali sana..

Foleni itapungua soon kwani kuna upanuzi wa barabara ya Bagamoyo! lakini pia kuna wengine wamejiajiri na wana muda wao wa kwenda kazini, si wote wanaondoka asubuhi ama kurudi jioni wakati wa foleni! Ofisi zimesogea karibu na Makazi pia hadi bahari beach na Tegeta kuna ofisi, sii wote wako city centre!
 
Kazini mtatupeleka kwa helicopter?

Foleni itapungua soon kwani kuna upanuzi wa barabara ya Bagamoyo! lakini pia kuna wengine wamejiajiri na wana muda wao wa kwenda kazini, si wote wanaondoka asubuhi ama kurudi jioni wakati wa foleni! Ofisi zimesogea karibu na Makazi pia hadi bahari beach na Tegeta kuna ofisi, sii wote wako city centre!
 
Ni full furnished? hizo two bedroom ni self contained? is it two bedrooms plus sitting room, dining room kitchen etc au 2 bedroom kama zilivyo?
Fafanua zaidi,inaonekana kama umetumwa tu kuja kujaribu zali la bei humu jf.

Sijatumwa kujaribu zali Ndugu, hii ni kazi yangu niliyoisomea miaka minne na ni mwaka wa nane sasa nafanya hii kazi! Ni unfurnished two bedrooms with common washroom, diinning cum sitting room, plus kitchen.
 
Uyasemayo yana ukweli ndugu, lakini thamani ya nyumba ama makazi bora si matofali ama cement na mabati! Ni eneo husika! Ndio maana ukienda maeneo ya Oysterbay utakuta viwanja viwili vinafanana kwa ukubwa, kimoja kina nyumba tena ya ghorofa na kingine hakina, lakini baei ziko sawa! jiulize kwa nini? People are buying location, not brick and mortar! Ukumbuke pia kwamba maeneo mengi ya Dar es Salaam hayako planned (over 70%) ndio maana bei za maeneo haya zinakuwa juu! Hiyo ndiyo hali halisi, na si mimi!

Wewe unaishi wapi? Mr. Broker!
 
Sijatumwa kujaribu zali Ndugu, hii ni kazi yangu niliyoisomea miaka minne na ni mwaka wa nane sasa nafanya hii kazi! Ni unfurnished two bedrooms with common washroom, diinning cum sitting room, plus kitchen.

Mkuu swali langu mbona umeliruka ni possible au impossible, sorry kwa usumbufu nataka kujua tu!!
 
Wadau pia kuna sehemu yoyote ambayo wanapanga labda hata kwa one month or 2 months au labda niseme kwa wageni wanakuja dar na kukaa kwa mda mfupi na kuondoka??Na ambazo zipo full furnished

Swali zuri sana hili. Miezi michache ya nyuma kuna dada alikuwa anaulizia sehemu kama hizi za kuishi kwa muda mfupi wa mwezi au miezi miwili.
 
Ukienda Peninsula huko Masaki na Oysterbay hata mshahara wako wa mwaka mzima unawezashindwa lipia nyumba! Kodi ni hadi Dola 15,000 per month! Kwa Dar es Salaam ni wewe unaamua uishi wapi? Kuna vyumba hata vya shs. 20,000 kwa mwezi! Kupanga ni kuchagua! Karibu!
Wabongo kwa kujitutumua wacha kabisa, Warren Buffet ni billionea na bado anaishi nyumba ya kawaida kabisa. Nadhani ukimwambia kulipa kodi ya $15,000/month anaweza kupata heart attack!.
 
Wabongo kwa kujitutumua wacha kabisa, Warren Buffet ni billionea na bado anaishi nyumba ya kawaida kabisa. Nadhani ukimwambia kulipa kodi ya $15,000/month anaweza kupata heart attack!.

Hizo kodi za above US$3,000 zinalipwa na foreigners kaka, wabongo kama wapo ni wa kuhesabu,! Lakini kodi za above $ 10,000 zinalipwa na mabalozi! Unafikiri zile nyumba za Kenyatta Drive Oysterbay mara baada ya Surrender Bridge, bei yake ikoje? Walrren Buffet ni kweli anaishi nyumba ya kawaida lakini je na location ya hiyo nyumba ni ya kawaida? Kumbuka kwamba kinacho-matter hapa si nyumba ya thamani ama lah, location pia ina mchango mkubwa sana katika hilli@Yegomasika.
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom