Aokoa ndoa yangu na maisha yangu,mtumie na ww

Dah! ngoja tu nikuulize wewe mleta mada, katika pitapita zako hukuwahi hata siku moja kwenda nyumba za ibada na kuombewa????
Maana kwa imani niiaminiyo, mtu amtegemeaye mwanadamu huwa laana I juu yake.

kabisa amelaaniwa amgeuzaye mwanadamu kuwa kinga yake
 
Leo nimeona niwape angalau kwa ufupi wana jf nini kilinikuta maishani mwangu ili angalau km kuna wenye matatzo km yangu wapate suluhu na pia kuwaonyesha wana jamii mfano wa kuigwa wa mke wangu.
Nimeugua kwa miaka 2 na nusu nikiwa cwez hata kutoka nje.nimemaliza hospitali zote bila mafanikio,kias hata wauguz wakanichoka.Mke wangu akasimama kidete kuhakikisha kuwa napata nafuu.akazunguka kwa namna alizojua mwenyewe licha ya kuwa hatukua na njia maalum ya kipato tangu nilipoanza kuugua.
Katika kuangaika kwake akaelekezwa kwa mtu mwenye no 0684 095052 na kumuona akamueleza matatizo yangu..akapanga nae siku akaja nyumbani,akaanza kunihudumia...namshukuru mungu tangu siku ya kwanza alokuja nyumbani na kunifanyia tiba yake,nilianza kupata nafuu gradually mpaka nikapona kabisa na ss naendelea na mambo yangu after 2.5 years of seroius sickness.
Kwakweli nimemganda na kumfanya km mdogo wangu wa tumbo moja kwani ameokoa life yngu.Ukimwona huwez amin km anaweza fanya ki2,.aidha hapendi sana kufanya kwani ni mtu mwenye elimu nzuri but cjui km ni asili au vp amelazmika kufanyia watu.Nlishangaa siku nlikuta kwake viongoz(WANASIASA) wa wili maarufu hapa nchini akawaeleza am his brother wasiwe na wacwac.
Nlishangaa cku1 nlienda na cousin wangu kwa mara ya kwnza tunafika tu akamwita jina lke na kumuliza kwnini anatmbea na mwnamke kahaba?tulipotoka nikamuliza ndugu yangu akakiri kuwa ana uhusiano na mwnamke anaejiuza.infact ana mambo mengi ambayo siwez kuwaeleza yote.kurekebisha mambo ya mapenz ya watu,ndoa za watu etc.
Point yangu ya msingi ni kuwaomba wanawake mlio kwenye ndoa kuiga mfano wa mwanamke mwenzenu,my wife,muwape waume zenu huduma zaid ya nilopewa mm na muwe nao kwnye raha na shida.cjui ningekuwa wapi km mke wangu angeniacha niteketee.
point ya pili ni kuwa nimeonelea nitoe mchango wngu kwa wana jf,huenda wpo wnye mttizo mbalimbli wnahngaika kupata solution,kwakua mm nmefanikiwa kwa huyu mtu,huenda na ww ukafanikiwa so unawza kumtumia.0684095052 yupo dsm.

Bazazi ni MDINI safi na mfia dini!
Hashiriki katika kazi za MAPEPO WA UTAMBUZI.

Bazazi!
 
hapa watu watakandia,watatukana weee ila mwisho wa siku wengi tu wataitumia hiyo namba ili kuwasiliana na huyo mtu.kinachotuponza binaadamu ni unafiki kama mtu anamini ameponywa na mganga ndivyo anavyoamini kama hutaki unaacha na sio kuwafanya watu wote waamini unachokiamini.kaka walioamua kufanya watafanya,watakaoshindwa hawatakosekana pia.
 
hivi kwann watu huwa tunapenda sana kuhadaika??

kwa uwezo wangu mdogo huyu ni mganga wa kienyeji anajitangaza menyewe, sasa kwakuwa anapajua hapa jf akajua akija na bandiko mganga ataambuliza za uso afanyeje ni simpo tu unatumia nafsi ya 3 mpo hapo??

kwa wajanja wameshastukia saa mingi kwamba hakuna lolote hapa.

Kweli kabisa, waganga wanaamua kutumia JF kwa matangazo.
 
leo nimeona niwape angalau kwa ufupi wana jf nini kilinikuta maishani mwangu ili angalau km kuna wenye matatzo km yangu wapate suluhu na pia kuwaonyesha wana jamii mfano wa kuigwa wa mke wangu.
Nimeugua kwa miaka 2 na nusu nikiwa cwez hata kutoka nje.nimemaliza hospitali zote bila mafanikio,kias hata wauguz wakanichoka.mke wangu akasimama kidete kuhakikisha kuwa napata nafuu.akazunguka kwa namna alizojua mwenyewe licha ya kuwa hatukua na njia maalum ya kipato tangu nilipoanza kuugua.
Katika kuangaika kwake akaelekezwa kwa mtu mwenye no 0684 095052 na kumuona akamueleza matatizo yangu..akapanga nae siku akaja nyumbani,akaanza kunihudumia...namshukuru mungu tangu siku ya kwanza alokuja nyumbani na kunifanyia tiba yake,nilianza kupata nafuu gradually mpaka nikapona kabisa na ss naendelea na mambo yangu after 2.5 years of seroius sickness.
Kwakweli nimemganda na kumfanya km mdogo wangu wa tumbo moja kwani ameokoa life yngu.ukimwona huwez amin km anaweza fanya ki2,.aidha hapendi sana kufanya kwani ni mtu mwenye elimu nzuri but cjui km ni asili au vp amelazmika kufanyia watu.nlishangaa siku nlikuta kwake viongoz(wanasiasa) wa wili maarufu hapa nchini akawaeleza am his brother wasiwe na wacwac.
Nlishangaa cku1 nlienda na cousin wangu kwa mara ya kwnza tunafika tu akamwita jina lke na kumuliza kwnini anatmbea na mwnamke kahaba?tulipotoka nikamuliza ndugu yangu akakiri kuwa ana uhusiano na mwnamke anaejiuza.infact ana mambo mengi ambayo siwez kuwaeleza yote.kurekebisha mambo ya mapenz ya watu,ndoa za watu etc.
Point yangu ya msingi ni kuwaomba wanawake mlio kwenye ndoa kuiga mfano wa mwanamke mwenzenu,my wife,muwape waume zenu huduma zaid ya nilopewa mm na muwe nao kwnye raha na shida.cjui ningekuwa wapi km mke wangu angeniacha niteketee.
Point ya pili ni kuwa nimeonelea nitoe mchango wngu kwa wana jf,huenda wpo wnye mttizo mbalimbli wnahngaika kupata solution,kwakua mm nmefanikiwa kwa huyu mtu,huenda na ww ukafanikiwa so unawza kumtumia.0684095052 yupo dsm.

nakukemea kwa nguvu zote ushindwe...hamna awezaye zaidi ya mungu.......kwanza wewe ni mganga unataka kujitangaza huku..tafuta sehemu nyingine. Ushindwe kabisa na nguvu zako za giza hizo unzazotaka kupotosha watu wa mungu huku .
 
Huku unamtaja Mungu na kule kwingine unashadadia ngono ili tu wale mabest zako wengine wakuone una akili...huu ni undumilakuwili.
 
Biashara ni matangazo

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom