Elia
JF-Expert Member
- Dec 30, 2009
- 3,425
- 567
Hapo maeneo The Bell Lager na The Club bila kusahau Nile Special zilipata habari yake! Weekend uende Nile Cassino ukacheze za kiganda.
Vip Rock Garden, tembele night! kama uko strong.
Hapo maeneo The Bell Lager na The Club bila kusahau Nile Special zilipata habari yake! Weekend uende Nile Cassino ukacheze za kiganda.
Upo fasta Dena! LolMbona hujibu PM wewe??? Namba yangu ni +256 774..... hapa hadharani
Upo fasta Dena! Lol
ngoja mama, usimwage mchele kwenye **** wengi
hahaha umenikumbusha mbali yaani hilo masaoooo nilikua nasahau kila mara....najikuta nimepitilizwa!!
Sasa ulikuwa unafanyaje kurudi?? Pole Huku raha sana
hahaha Kavera muhimu mama kama wayapenda maisha! lol
Pipooooz,
kwana nawasalim!
Sasa, kama kuna ktu anaishi Jinja naomba ani pm ili tuwetunawaliana tu na kupiga stori pamoja, mtaa naoishi bado sijaushika jina vizuri nitawataarifu.
Naomba kuwasilisha.
D wa 5
Ukipata wa jirani si unajua inavyokuwa raha weekend hii poa sana
taratibu lakini asije kuwa ni House boy huyo!!!!!
ah kumbe tupo wengi...haya na mie niko mukono, 20km from kampala, on jinja rd...wewe D5 unaweza shukia kwangu twende sote kiwatule!! aahahahha. nanyonyesha bwana ...kujikata miguu huku kwa kujitakia...haya bassebo na banayabo...mujevale?

Karibuni sana.....yeha mukono karibu sio mbali!Usijali tutakuja kumuona mtoto. Mukono mbona karibu nyabo????
ahahahhaa....D5 wewe ndio mwisho wa mawazo...nimwachie babake twende tujivinjari eh? sintapew talaka bwana..wacha kaanze kula sima ndio atakiona cha mtema kuni!:car: ntakupitia ivo ivo, mtoto muache na baba ake akilia mwambie amdanganyie pipi
Pipooooz,
kwana nawasalim!
Sasa, kama kuna ktu anaishi Jinja naomba ani pm ili tuwetunawaliana tu na kupiga stori pamoja, mtaa naoishi bado sijaushika jina vizuri nitawataarifu.
Naomba kuwasilisha.
D wa 5
Karibuni sana.....yeha mukono karibu sio mbali!
ahahahhaa....D5 wewe ndio mwisho wa mawazo...nimwachie babake twende tujivinjari eh? sintapew talaka bwana..wacha kaanze kula sima ndio atakiona cha mtema kuni!
Huku wenzenu daladala zinaitwa Taxi.
Na ukipanda unasema "Stejiaho" Kama unashuka standi na kama ni msaada unasema "Masaooo" So Kimey ukija usisahau hilo
hahaha ningeshangaa usinge pita hapa!! hapo kwenye Nyekundu asee palinitambua bana!!Osuzile otya Ssebo?
Usisahau kunipitia Najanankumbi (Naja) twende zetu [B]Kabalagala[/B]!
Au Tutaanzia Hotel Equitorial!
hahaha ningeshangaa usinge pita hapa!! hapo kwenye Nyekundu asee palinitambua bana!!
Habari yakeee baba Enock?