Any one in Jinja - Uganda

Kaka Sam

JF-Expert Member
Jul 29, 2009
540
78
Pipooooz,

kwana nawasalim!
Sasa, kama kuna ktu anaishi Jinja naomba ani pm ili tuwetunawaliana tu na kupiga stori pamoja, mtaa naoishi bado sijaushika jina vizuri nitawataarifu.
Naomba kuwasilisha.

D wa 5
 
Mie niko Kampala unaonaje?? tukitembeleana weekend?? Niko sehemu moja inaitwa Chiwatule
 
Pipooooz,

kwana nawasalim!
Sasa, kama kuna ktu anaishi Jinja naomba ani pm ili tuwetunawaliana tu na kupiga stori pamoja, mtaa naoishi bado sijaushika jina vizuri nitawataarifu.
Naomba kuwasilisha.

D wa 5
hahaha home boy bana "Gebaleko ssebo...."
mbona unajilimit na Jinja we Sema aliyepo na Kampala pia. Usisahau kwenda pale Spot 6 ukawasalimie masela wangu!
 
Seboo upo?

Poa ntaenda kesho jion, naskia ulipiga chata ukutani, remember Kimei... haha haa (enzi zile) ntazifikisha
 
Hapo maeneo The Bell Lager na The Club bila kusahau Nile Special zilipata habari yake! Weekend uende Nile Cassino ukacheze za kiganda.
 
Seboo upo?

Poa ntaenda kesho jion, naskia ulipiga chata ukutani, remember Kimei... haha haa (enzi zile) ntazifikisha

Huku wenzenu daladala zinaitwa Taxi.

Na ukipanda unasema "Stejiaho" Kama unashuka standi na kama ni msaada unasema "Masaooo" So Kimey ukija usisahau hilo
 
Usisahau mifuko ya plastick maarufu kama rambo TZ huku wanaita "Kavera" Kimey usije nunua kitu ukashindwa kununua mfuko kazi kwako
 
hahaha umenikumbusha mbali yaani hilo masaoooo nilikua nasahau kila mara....najikuta nimepitilizwa!!
Usisahau mifuko ya plastick maarufu kama rambo TZ huku wanaita "Kavera" Kimey usije nunua kitu ukashindwa kununua mfuko kazi kwako
hahaha Kavera muhimu mama kama wayapenda maisha! lol
 
Back
Top Bottom