Antivirus MixTape: Sugu awachana Clouds FM

mmmh haya matusi ndugu yangu mbona balaa

lugha chafu mno...............angejaribu ku edit kidogo ili ipatwe kupigwa katika redio nyengine.
 
Kuna katangazo kamoja ka Kibonde kila nikikaona natamani kupasua kideo ..Uhuru wa kuongea tayari wamekwishaanza .. :mmph:
 
mpaka F word limo humo ..............hashwindi ku edit

na kutaja mtu kwa jina pia noma ....................angesema tu kuna wengine wana ngoma wanaeneza mtaani

wazee walisema,.......omba msanii akupende tu akikuchukia utatamani ardhi ipasuke......naona kibonde yamemfika
 
Kuna katangazo kamoja ka Kibonde kila nikikaona natamani kupasua kideo ..Uhuru wa kuongea tayari wamekwishaanza .. :mmph:


FirstLady unamambo wewe...hahhhhaahhahaha zima TV sasa....hahahahah!!
 
Ebana kuna mstari mmoja amemtaja mtangaziji mmoja wa hiyo redio eti anasambaza ngoma mitaani.
Mh! lisemwalo lipo kama halipo.....

huo mstali hata mi umenishtua sana, yaweza kuwa kweli nini?
 
Ndio Gang Star Music au?? Ujumbe unaeleweka... lakini kwa matusi na vitisho hivyo sidhani hata kama hiyo Vol. II itatoka...

Namtakia kila la kheri
 
hili pini noma,much respect to SUGU nimeamini maneno yake ya nyuma kama yeye ni kitisho na kitisho hakiogopi kitisho...huyu ndo mwanapinduzi wa kweli si kama wengine wanajua uwanamapinduzi kutembea kifua mbele umejitanua au jicho umeziba au maneno ya kihuni mengi katika interview au kupiga wasiohusika katika ukandamizaji leo unakisanua halafu kesho unaenda kupiga magoti kuomba msamaha......SUGU ni top gun wa bongo hip hop
 
naamini hapa ni nyumbani kwa watu wanaoaminika kwa kuchambua na kudadafua isues mbalimbali, em tuusikilize huu wimbo kama ulivyo then tuuchambue, je ni kitu gani kimetokea mpaka king wa hii fani ya rap akaamua kuwatungia wimbo?? je yaliyomo huko ni kweli?? najua watu kama kina nguli wakali wa mistari watachangia ipasavyo...halllah...



ZionTZ hizo nyimbo zinatolewa bure so ni halali kabisa kurushwa watu wakadownload kama MP3, kama una good source ungetuwekea tukadownload najua itakuwa vigumu sana kurushwa kwenye redio lakini tutazipiga kwenye simu zetu tena za kichina ndo zinasauti na vocal za ukweli watatuelewa tu.......fanya hivyo uapload full albam
 
Last edited by a moderator:
Antivirus ya wezi wetu yaja!

Mkongwe wa Bongo Hip Hop, Joseph Mbilinyi 'Mr. II' a.k.a 'Sugu' amewakusanya masela kibao kunako anga za muziki huu na kuanzisha very active project inayokwenda kwa jina la ANTIVIRUS.


MR-II-PICS-742425.png


Project hiyo inahusu mapinduzi, inanyoosha ukweli kwa vipimo vyake, inawagonga fatuma wezi wote waliohusika kuihujumu Bongo Fleva na inatangaza vita kwa yeyote mwenye shida ya ubaya dhidi ya wanamuziki wataka haki.

Kwa mujibu wa Sugu,Antivirus ni project ya mashambulizi mwanzo mwisho, itafanya kazi kwa mtindo wa mixtapes, yaani kurekodi nyimbo kwenye instruments maarufu za kiwanja, halafu ngoma zinawekwa pamoja halafu zinagawiwa bure kwa Watanzania. “Kila msanii ataimba topic yake kuhusu Antivirus, yaani atagonga jiwe lake kwa kutaja majina wahusika wa unyonyaji wa muziki wetu.

Watu ambao wanaua muziki. Tunagawa bure ili kutaka ujumbe ufike kwa Watanzania,” ......“Ni bure na kazi yote itasajiliwa COSOTA kwamba haiuzwi. Mtu anaruhusiwa kutoa nakala na kumpa mwenzake. Itatoka Antivirus part I mpaka kumi kisha itakuja Antivirus Vol II. Wasanii wapo wengi na toleo la kwanza litakuwa na nyimbo 16.”

Baadhi ya Ma-Lijendari watakaokuwemo kwenye project hiyo ni Godfrey Tumaini ‘Dudubaya’, Suleiman Msindi ‘Afande Sele’, G Solo na wengine kibaoooooooo.

hii kitu inafanana na project ya dudubaya aliyoipa jina la nguruwe ambayo nayo itaoka volume nyingi na wanaosemwa ni walewale...changanya na za kwako..
 
Unajua hii inanikubushe ileeeee kati ya Juma Nature na wimbo wake wa inaniuma sana. Unajua watangaji bongo sometimes wanajiona kama wao ni everythimg kwa kuwa tu wana kipaza sauti, Mr. Sugu kweli anaonekana hii kitu hawezi kuisamehe mpaka kaburini

YouTube - juma nature inaniuma sana
 
Siku zote alikuwa wapi ,hasira zote ni baada ya kuzidiwa kete,mtu unatakiwa kufanya mambo sio kutokana na visasi au mijihasira huko ni kuleta mtafaruku kwa kuwaingiza katika mitafaruku isiyo ya lazima na wengine ambao. Hufuata tu mambo bila kujua chanzo na athari zake,leo ugomvi wa Mr Sugu na Clouds una anza kuwahusisha hata wasiohusika,kama bifu Mr Sugu aifanye yeye peke yake mbona kwenye mchongo alichonga alone bila kuwashirikisha hao wengine na je kabla ya hapo alikuwa hajui mabaya ya Clouds?mbona alikaa kimya wakati wengine wakipokwa haki zao ?leo zamu yake sasa ndio anajifanya mtetezi wa wote ,hapana wasanii kataeni kuingizwa katika mambo yasiyowahusu
 
Duuh naona kawapaka kinoma na hii inaweza kuelekea pabaya sana.mimi binafsi sio mtu wa ku-support mambo ya mabeef kwani mwisho wake huwa mbaya sana.

Kuna uwezekano clouds wakatumia nguvu ya dola kumtia jamaa ndani lets wait n see.

Mwisho beats sio nzuri inaficha ujumbe,kwa nyimbo ya beef kama hii unatakiwa maneno yako huyape nafasi yasikike.Clouds kazi kwenu jamaa kawaeka maovu yenu yote na ni noma kama mnawanyanyasa vijana kiasi hiki.
 
Dah.......e bana eeh....SUGU kawachana hasa hawa jamaa................naona kamua kutokuwa mnafiki....safi sana,ukweli ndo huo.....japo unauma
 
Ndio Gang Star Music au?? Ujumbe unaeleweka... lakini kwa matusi na vitisho hivyo sidhani hata kama hiyo Vol. II itatoka...

Namtakia kila la kheri

Mea maxima clupa baba Askofu,

Wewe ndio hujapata hio vol 2 tayari kuna nyimbo nyingi sana mitaani zinazunguka INVISIBLE kashapelekewa copy kama hana uswaiba na clouds ataweka
 
saluuuuut!!!!!!!!!
aluutaaaaaaaa.......continua...........!!
baba mmh umenena tena wima!!!!!...lakin mpenzi wangu daahhhh umewachana sana....
m afraid ma braaza do u have evdnce of what ur saying?
-km ni hasira tu za kibifu ndo ukaamua kuwachana kiivi bwana siyo fresh
-y didnt u use some dplomat means to solv t?
-yap ata mi naskia clouds wana madudu sjui thy nt fea ....bt ma broo walikupa promo kipind flan walikuwa wanapiga nyimbo ako km ni bifu la maralia au namna gan vip ni kias cha kuwaambia na kuzungumza cz u mr mr 2 ur like model to many young artist so z beta to show up wth gud mana n ol staffs in gud colour bt kuwaka ivi tena maneno makali makali km aya dahhhhhhh
-m just tryng to make t balance for both of u mr 2 n clouds ...
-dah m real sor for kibonde....mr sugu dnt u thk u make him fil dwn?to lower his status que?conflict wth his family?watu wengine pia watamwonaje?apana bwana usingemchana vile kibonde wa watu siyo fresh ata km ni bifu mshkaji wangu daaaaaah si poa ungemwambia face to face bwana lakin c kumvua nguo adharan..........he z lyk yr broo ryt? ungempasulia kipemben pemben lakin what u did is against of human right ,immoral n even natural law cant accept such swanga .

ol in ol z u knws whats battle z ol abt
bt i can i advce u to make t low .just malizen mabifu yenu pemben pemben japo kusitiriana mjin apa
polen
ebu nisali mie shetan asije akawaingia mkaanza kuasakana na kupigana vikwenzi mtaani uko
salamu maria mara3
bab yetu mara 3
atukuzwe mara 3
malaika wa bwana mara 3
neema ya bwana iwaongoze ,busara zake ziwe nanyi katika kutatua matatizo yenu
nawapenda wote mr2 ,clouds na kibonde na nan sjui na kila mtu .
alutaaaaaaaaaaaa...................!!!!!!!!!!!!
 
Back
Top Bottom