Antivirus MixTape: Sugu awachana Clouds FM

Ebana kuna mstari mmoja amemtaja mtangaziji mmoja wa hiyo redio eti anasambaza ngoma mitaani.
Mh! lisemwalo lipo kama halipo.....
 
Hayo mamabo yalianza siku nyingi sana (miaka ya 47) enzi za akina Taji Liundi pale radio one.....kwa kweli inaudhi sana na kukatisha tamaa wasanii wetu...
 
duuuh kweli balaa, basi kama ndo hivyo manake ni kwamba ameamua kuliweka wazi ili wadau wengine tulisikie, so tht means alidhulumiwa na wamiliki wa clouds au serikali?

Ila maneno mengi aliyoyataja humo yanakaribia ukweli, mimi huwa sipendi zile isue za matusi wanazotangazaga as if ile redio inasikilizwa na wahuni tu, hizo zakuujipendekeza kwa chama cha siasa na zenyewe inaweza kuthibitika coz mata kibao tu rahisi rahisi hahahhahahah ila jamaa amepangilia mistari kinyama na hilo beat ndo balaa....

I wish hiyo nyimbo ingepigwa redioni(najua haiwezekani)
Tatizo haka ka'computa ninakokatumia hakana voko ya ukweli so nimekosa ladha ya beat ila mistari nimeipata vizuri.
 
Hawa jamaa mi huwa siwakubali kwa sababu ni wanafiki kweli, yani hwezi kujua wnaegemea wapi, leo wanawezakuwa wanaponda hili akiwa kafanya fulani, kesho kafnya mwingine mtu wao wanamfagilia mbaya, au unaweza kuta kuta kitu flani (eg ile isue ya ule mgodi uliovujisha sumu kwnye mto) jamaa alichukuliwa.

Nakumbuka PJ akapandishwa ndege bure kaenda huko aliporudi akaanza kuwasafisha eti wameleta sna maendeleo kwenye hilo eneo.....toka siku ile sikutaka kuwasikiliza kabisa....wanafiki kweli af wanawa-brainwash wasanii sana, hawa wasanii mnawaona kama watu waliofanikiwa lakini deep inside wana machungu sana, hasahasa kutokana na njaa, af hawa jamaa hawapigi wimbo wako mpaka uwape hela, ma wassanii wakike ndo vile mpaka waachie uchi ndo watapaa...hawa wasanii wakike wanatumiwa sana, na hawana say coz they dont have anything.
 
Invisible embu toa maelezo namna tunaweza kupost nyimbo hapa ziko kama 8 hivi
 
nguli wekaaaaaaaaaaaa......invisible unamsikia nguli??? anaomba msaada wako humu....pleeeeeeese!!
 
jamaa kachan ile mbaya,

navyowajuwa wale watakimbila mahakamani hasa huyo mwenye ngoma
 
Kuna maneno ambayo yanagusa sana hapa moja kwa moja:
  • Machoko maghorofani
  • Mbona mna wachapa nao na kuwapa mimba
  • Wanawapa mimba
  • Kibonde anatukana watu hovyo redion, hana akili kichwani, ana sambaza "ngoma" makusudi mtaani.
  • Kujipendekeza kwa Rais
  • Redio imejaaa mashoga
  • Watangazaji wanaliwa kama mboga
  • Watangazaji "under paid"
  • Kuwabana machizi, machizi hawana njaaa kuliko ninyi..
 
dah hayo maneno kwanza ni makali, then yanagusa sana...yani kutoka kwenye hayo maneno direct unajua anawazungumzia kina nani...af mwanangu ngoshwe hiyo avatar yako jinsi ulivyopose na hiyo coment yako vinaendana kinoma...hahaahahah upo juu man!!
 
Kuna maneno ambayo yanagusa sana hapa moja kwa moja:
  • Machoko maghorofani
  • Mbona mna wachapa nao na kuwapa mimba
  • Wanawapa mimba
  • Kibonde anatukana watu hovyo redion, hana akili kichwani, ana sambaza "ngoma" makusudi mtaani.
  • Kujipendekeza kwa Rais
  • Redio imejaaa mashoga
  • Watangazaji wanaliwa kama mboga
  • Watangazaji "under paid"
  • Kuwabana machizi, machizi hawana njaaa kuliko ninyi..
Hii ina ukweli nini maana kuna habari kuwa yeye na Gerald Hando wana Ngoma long time hata afrya zao zinaonyesha zimezorota sana...

untitledk.jpg

Kibonde nae afya yake ni ya ku-unga unga...

miss%20038.jpg
Mcheck Gerald Hando hapo afya mgogoro....
 
Kuna maneno ambayo yanagusa sana hapa moja kwa moja:
  • Machoko maghorofani
  • Mbona mna wachapa nao na kuwapa mimba
  • Wanawapa mimba
  • Kibonde anatukana watu hovyo redion, hana akili kichwani, ana sambaza "ngoma" makusudi mtaani.
  • Kujipendekeza kwa Rais
  • Redio imejaaa mashoga
  • Watangazaji wanaliwa kama mboga
  • Watangazaji "under paid"
  • Kuwabana machizi, machizi hawana njaaa kuliko ninyi..

Duuh!
 
Hii ina ukweli nini maana kuna habari kuwa yeye na Ferald Hando wana Ngoma long time hata afrya zao zinaonyesha zimezorota sana...

untitledk.jpg

Mcheck Gerald Hando hapo afya mgogo.... Kibonde nae afya yake ni ya kuunga unga


Kuna kupona mtu kweli??, Sura ikishapauka tu na midomo kukauka inaleta mashaka tele kwa utabiri wa hali wa afya katika karne hii ya teknolojia ya kutumia macho. Hapa inakuwa kama kama mchanganyiko wa maziwa na limao!!.

Lakini kwa jinsi mistari alivyoipangilia si rahisi kwa clouds kujenga hoja kuwa inawahusu wao moja kwa moja kwa maana ya kuwadhalilisha: Kawa smart kiaina sana hapa MR. II.

(i) yawezekana tafisri nyingine isiwe ni Clouds FM (Radio ya watu ya akina Ruge)
(ii) Katumia uwingi sana kwenye msitari yake (ninyi, tunawajua, nk) ..
(iii) Kibonde (yawezekana si Ephraim Kibonde wa Clouds).

Kazi ipo!!
 
could mr sugu be referring to the station and its officers or rather a mere artistic piece of work? tunaruhusiwa kutafsiri tunavyoweza lakin kushambulia personality ya mtu si uungwana. hapa jf pawe pahala pa great thinkers kweli, sio pa kulipizana visasi. remember; poor minded people discuss people...great thinkers discuss ideas and concepts.
 
Antivirus ya wezi wetu yaja!

Mkongwe wa Bongo Hip Hop, Joseph Mbilinyi 'Mr. II' a.k.a 'Sugu' amewakusanya masela kibao kunako anga za muziki huu na kuanzisha very active project inayokwenda kwa jina la ANTIVIRUS.


MR-II-PICS-742425.png


Project hiyo inahusu mapinduzi, inanyoosha ukweli kwa vipimo vyake, inawagonga fatuma wezi wote waliohusika kuihujumu Bongo Fleva na inatangaza vita kwa yeyote mwenye shida ya ubaya dhidi ya wanamuziki wataka haki.

Kwa mujibu wa Sugu,Antivirus ni project ya mashambulizi mwanzo mwisho, itafanya kazi kwa mtindo wa mixtapes, yaani kurekodi nyimbo kwenye instruments maarufu za kiwanja, halafu ngoma zinawekwa pamoja halafu zinagawiwa bure kwa Watanzania. “Kila msanii ataimba topic yake kuhusu Antivirus, yaani atagonga jiwe lake kwa kutaja majina wahusika wa unyonyaji wa muziki wetu.

Watu ambao wanaua muziki. Tunagawa bure ili kutaka ujumbe ufike kwa Watanzania,” ......“Ni bure na kazi yote itasajiliwa COSOTA kwamba haiuzwi. Mtu anaruhusiwa kutoa nakala na kumpa mwenzake. Itatoka Antivirus part I mpaka kumi kisha itakuja Antivirus Vol II. Wasanii wapo wengi na toleo la kwanza litakuwa na nyimbo 16.”

Baadhi ya Ma-Lijendari watakaokuwemo kwenye project hiyo ni Godfrey Tumaini ‘Dudubaya’, Suleiman Msindi ‘Afande Sele’, G Solo na wengine kibaoooooooo.
 
could mr sugu be referring to the station and its officers or rather a mere artistic piece of work? tunaruhusiwa kutafsiri tunavyoweza lakin kushambulia personality ya mtu si uungwana. hapa jf pawe pahala pa great thinkers kweli, sio pa kulipizana visasi. remember; poor minded people discuss people...great thinkers discuss ideas and concepts.

Nikianza na wewe greatthinker, we unaonaje? anamzungumzia mtu au ni general?? yani ili uwe unamzungumzia mtu unatakiwa kusemaje na ili uwe general unatakiwa kusemaje...
 
There are currently 36 users browsing this thread. (13 members and 23 guests) - Duh nadhani clouds leo wamejaa humu kufuatilia hii siredi...
 
Nimesikiliza jamaa kawachana clouds ile mbaya. It is too personal which may lead to litigation. Lets wait and see! Also it has a lot words that you cannot listen in the public, they are too strong to be played in any public radio or tv. I think this is only a trailer, we will see the full movie soon. But as he said clouds pretends to take the president as theirs, then, we may witness this guy being harrassed by police soon or other govt organs.
 
Back
Top Bottom