Antivirus MixTape: Sugu awachana Clouds FM

Jamaa kaamua kumaliza kila kitu. Clouds wakisikiliza hii kitu nadhani watabadilika!
 
Dah.......e bana eeh....SUGU kawachana hasa hawa jamaa................naona kamua kutokuwa mnafiki....safi sana,ukweli ndo huo.....japo unauma

Mkuu, hii ni soo!!! Sugu kapiga nyoka kichwani mazee... ila naogopa explicit lyrics zake zinaweza kula kwake hasa ukizingatia ametaja majina na pia kamweka presidaa ndani... unajua nchi yetu ni unafiki una-prevail na nadhani kama huyu jamaa anaingia humu tumshauri kwamba awe na version mbili za hii album au episodes

apige moja unedited version na iwe kwa masela zaidi, halafu ya pili atengeneze radio version. SUGU IPIGE HIYO PROJECT SWAFI, PUNGUZA LUGHA ZA MATUSI HALAFU IPE PROMO MIKOANI NA KUPIGA CONCERTS MBALIMBALI, INAWEZA KUWALIPA KULIKO HIZO COPY ZA WAHINDI

hii movement ni safi sana lakini kama nyingi zinazopingana na "chama tawala" zitakuja kuwamaliza wenyewe!!!
 
Jamaa kaamua kujitoa mhanga, liwalo na liwe kama noma na iwe noma...KAMA MBWAYU MBWAYU!
 
Ebwana natamani kuisikia hii nyimbo...bahati mbaya pc yangu haiwezi fungua hii makitu.

Invisible fanya mambo yako, tupia hiyo mixtape humu!!
 
Usingeweza kumsikia mfokaji madhubuti wa kimagenge, kama Tupac au C-Murder, akitoa ujumbe kama vile "...ufokaji sio uhuni." Hawakujificha kwamba wao ni wahuni, wauaji, ambao wasingekuwa starehefu kama wangejikuta wameingizwa mbinguni (Notorius B.I.G., Suicidal Thoughts).

Wafokaji wa Tanzania wamehangaika miaka enda rudi kukubalika, wakitumia nusu ya maudhui ya aya zao kulia kwamba "...muziki wa ufokaji si uhuni." 2-Proud ukiwa mmoja wa wabeba mwenge waasisi wa ujumbe huo. Kabla hujawa Sugu. Kabla hujawa Mr.II.

Leo umesimamika rasmi kama mfokaji wa kimagenge, kwa mtaji huo wa Mpinga Virusi.

Sasa tusije tukakusikia kamwe unaimba nyimbo za ki Mama Teresa za kupamba maua muziki wa ufokaji Tanzania kwamba sio wa wahuni. Au kushiriki kwenye tamasha la kina dada la mpango wa uzazi. Wewe sasa ni mwanagenge. Utakuwa mnafik wallahy.
 
Kuna maneno ambayo yanagusa sana hapa moja kwa moja:
  • Machoko maghorofani
  • Mbona mna wachapa nao na kuwapa mimba
  • Wanawapa mimba
  • Kibonde anatukana watu hovyo redion, hana akili kichwani, ana sambaza "ngoma" makusudi mtaani.
  • Kujipendekeza kwa Rais
  • Redio imejaaa mashoga
  • Watangazaji wanaliwa kama mboga
  • Watangazaji "under paid"
  • Kuwabana machizi, machizi hawana njaaa kuliko ninyi..

While not being exactly politically correct (hip hop is not known for political correctness by the way) once again Sugu is pushing the envelope of acceptability.

Mimi nilisema siku nyingi tu hapa kwamba Clouds ni vitoko, lakini hata kwa mie ninaejua kwamba Clouds ni vitoko tu, kama robo ya madai ya Sugu yanabeba ukweli, basi matatizo ya Clouds ni makubwa kuliko nilivyofikiria.

Ningetaka kusema kwamba ameweka precedent, lakini kuna mchizi mmoja alishatoa rekodi kama hii kumtukana Miraji Kikwete (I forgot that kids name) so as far as a diss record is concerned this is not precedent setting, the magnitude of the importance of this release comes in the fact that the battle is depicted in a deeper depth than a personal beef, and for those who can infer from the between the lines innuendos, even the Kikwete presidency is not spared indirect jabs.

The lack of concern for censorship and blatant profanity can be viewed in two ways, for those who are of a more conservative persuasion while still identifying with Mr. 2's irritations, they are wishing the presentation was a tad bit cleaner, if only to readily reach a bigger audience that may not be familiar with the role of that language in the hip hop world.The more liberal crowd would argue that the language is called for, and profanity assumes the nature of profanity only when it is uncalled for, and when someone is profaning for legitimate reasons, profanity actually assumes the role of part of speech expressing the right degree of anger and frustration.

The politically correct crowd could argue naming names of alleged HIV carriers was a below the belt hit, and I can understand why.But Sugu according to his allegation, did not simply go against somebody with HIV, but somebody who is knowingly spreading HIV and using his celebrity in the inhuman enterprise of infecting unsuspecting people. Provided the allegations are factual, Sugu emerges as a social commentator who is sailing the uncharted seas in Tanzania, I am trying to recall a more blunt attack of this nature 9deliberate spread of HIV) and I am drawing a blank.

I suppose critics can always depict this as a case of sour grapes after the recent brouhaha between Clouds and Sugu, if I didn't know about the despicable conduct at Clouds I would be tempted to say the same too, but I do know that Clouds is irredeemably rotten, and there is no conflict between Mr. 2 being self serving and at the same time telling the truth.

This was a much needed recording and it actually is long overdue.It took someone with the gravita and clout of Mr. 2 all these years to gain the composure and align the circumstances that made this possible.

To me this is bigger than Mr. 2, bigger than bongofleva/ hip hop.This is social commentary, this is the young people of Tanzania expressing anger and frustration from being yoked by the cabal of a few serf lords, and expressing that anger with no apology.

Is this the slow beginning of a docile populace waking up and fighting for that which is only rightfully theirs?

It remains to be seen, time will tell.
 
Mkuu, hii ni soo!!! Sugu kapiga nyoka kichwani mazee... ila naogopa explicit lyrics zake zinaweza kula kwake hasa ukizingatia ametaja majina na pia kamweka presidaa ndani... unajua nchi yetu ni unafiki una-prevail na nadhani kama huyu jamaa anaingia humu tumshauri kwamba awe na version mbili za hii album au episodes

apige moja unedited version na iwe kwa masela zaidi, halafu ya pili atengeneze radio version. SUGU IPIGE HIYO PROJECT SWAFI, PUNGUZA LUGHA ZA MATUSI HALAFU IPE PROMO MIKOANI NA KUPIGA CONCERTS MBALIMBALI, INAWEZA KUWALIPA KULIKO HIZO COPY ZA WAHINDI

hii movement ni safi sana lakini kama nyingi zinazopingana na "chama tawala" zitakuja kuwamaliza wenyewe!!!
Nadhani akifanya hivyo atafanikiwa zaidi ingawa anapambana na watu wenye mtandao mkubwa.
 
Siku zote alikuwa wapi ,hasira zote ni baada ya kuzidiwa kete,mtu unatakiwa kufanya mambo sio kutokana na visasi au mijihasira huko ni kuleta mtafaruku kwa kuwaingiza katika mitafaruku isiyo ya lazima na wengine ambao. Hufuata tu mambo bila kujua chanzo na athari zake,leo ugomvi wa Mr Sugu na Clouds una anza kuwahusisha hata wasiohusika,kama bifu Mr Sugu aifanye yeye peke yake mbona kwenye mchongo alichonga alone bila kuwashirikisha hao wengine na je kabla ya hapo alikuwa hajui mabaya ya Clouds?mbona alikaa kimya wakati wengine wakipokwa haki zao ?leo zamu yake sasa ndio anajifanya mtetezi wa wote ,hapana wasanii kataeni kuingizwa katika mambo yasiyowahusu

Mfia nchi kwa kweli sijakuelewa...sasa ulitaka akae kimya? ulitaka kila deal awashirikishe wenzake? hivi mtu akikudhulumu haki yako basi unakuwa umezidiwa kete? na siamini kama waliohusishwa hawajatendewa ndivyo sivyo na hao wanaolalamikiwa clouds, .....
 
Mr. II a.k.a. hakika umefanya kazi! Lakini wewe mwenyewe mbona uko kwenye mkumbo huo huo? au ndio unajaribu kujihami kiaina? Jaribu kuendeleza kipaji chako kuliko kuchambua watu, au unachambua jihakikishe kwamba wewe ni safiii vinginevyo ni ile mithali inasema Nyani walichekana kwenye mbuga.
 
Kazi ipo, ngoja nitume nyoka mtaani wakaisake hii mixtape!!

Mwenye idea inapopatikana hii kazi ya kizalendo hapa Dar anistue...niwaambie vijana waifuate!!
 
Siku zote alikuwa wapi ,hasira zote ni baada ya kuzidiwa kete,mtu unatakiwa kufanya mambo sio kutokana na visasi au mijihasira huko ni kuleta mtafaruku kwa kuwaingiza katika mitafaruku isiyo ya lazima na wengine ambao. Hufuata tu mambo bila kujua chanzo na athari zake,leo ugomvi wa Mr Sugu na Clouds una anza kuwahusisha hata wasiohusika,kama bifu Mr Sugu aifanye yeye peke yake mbona kwenye mchongo alichonga alone bila kuwashirikisha hao wengine na je kabla ya hapo alikuwa hajui mabaya ya Clouds?mbona alikaa kimya wakati wengine wakipokwa haki zao ?leo zamu yake sasa ndio anajifanya mtetezi wa wote ,hapana wasanii kataeni kuingizwa katika mambo yasiyowahusu

Mfianchi...Unaishi wapi?...Kila jambo lina wakati wake...Why blame on somebody who has pioneered a revolution?..Una maana gani kusema alikuwa wapi, na ulitaka vita hii ianze lini?...wakati uliokubalika kwa mapinduzi yoyote ni SASA, na si jana!..huh!...Usiwakatishe tamaa wanaotaka kuuokoa muziki wa Bongo unaowafaidisha mafisadi-Papa wachache broda!...I look at you very cautiously from now!...U mmoja wao nini?
 
Nimeusikia huu mchano kwa masikitiko na siioni busara iliyotumika hapo kwa upande wa sugu. Kisheria hii imekaaje kama watampeleka mahakamani hatuoni kwamba atakuwa amejijengea ushahidi kwa kumnyonga mwenyewe? Wasiwasi wangu ni kwamba sakata hili likifuatiliwa naona kama itakula kwake.
 
ushahidi gani uko hapo??kwani tanzania kuna KIBONDE wangapi?binafsi nawajua KIBONDE 12.......WHAT IS CLOUD?ni neno la kiingereza kwa kiswahili ni mawingu.....hajataja clouds fm radio/tv......
kuhusu busara.....lets assume anapiga dongo hio 'redio fm' utatumia ustaarabu kwa redio inayobariki matusi....fitina....umbeya...majungu....tuache unafiki hii redio mara ngapi humu watu wameilalamikia.

Watu tuko tofauti....tupo wengi tunaokwamishwa na aina ya watu ambao MR 2 kaamua kuwachana live ila tunatumia njia tofauti kupambana nao....MR 2 kaamua jino kwa jino......alioyaongea yote yapo na yanafanywa na hao watu........it's about time waambiwe ukweli.....
 
While not being exactly politically correct (hip hop is not known for political correctness by the way) once again Sugu is pushing the envelope of acceptability.

Mimi nilisema siku nyingi tu hapa kwamba Clouds ni vitoko, lakini hata kwa mie ninaejua kwamba Clouds ni vitoko tu, kama robo ya madai ya Sugu yanabeba ukweli, basi matatizo ya Clouds ni makubwa kuliko nilivyofikiria.

Ningetaka kusema kwamba ameweka precedent, lakini kuna mchizi mmoja alishatoa rekodi kama hii kumtukana Miraji Kikwete (I forgot that kids name) so as far as a diss record is concerned this is not precedent setting, the magnitude of the importance of this release comes in the fact that the battle is depicted in a deeper depth than a personal beef, and for those who can infer from the between the lines innuendos, even the Kikwete presidency is not spared indirect jabs.

The lack of concern for censorship and blatant profanity can be viewed in two ways, for those who are of a more conservative persuasion while still identifying with Mr. 2's irritations, they are wishing the presentation was a tad bit cleaner, if only to readily reach a bigger audience that may not be familiar with the role of that language in the hip hop world.The more liberal crowd would argue that the language is called for, and profanity assumes the nature of profanity only when it is uncalled for, and when someone is profaning for legitimate reasons, profanity actually assumes the role of part of speech expressing the right degree of anger and frustration.

The politically correct crowd could argue naming names of alleged HIV carriers was a below the belt hit, and I can understand why.But Sugu according to his allegation, did not simply go against somebody with HIV, but somebody who is knowingly spreading HIV and using his celebrity in the inhuman enterprise of infecting unsuspecting people. Provided the allegations are factual, Sugu emerges as a social commentator who is sailing the uncharted seas in Tanzania, I am trying to recall a more blunt attack of this nature 9deliberate spread of HIV) and I am drawing a blank.

I suppose critics can always depict this as a case of sour grapes after the recent brouhaha between Clouds and Sugu, if I didn't know about the despicable conduct at Clouds I would be tempted to say the same too, but I do know that Clouds is irredeemably rotten, and there is no conflict between Mr. 2 being self serving and at the same time telling the truth.

This was a much needed recording and it actually is long overdue.It took someone with the gravita and clout of Mr. 2 all these years to gain the composure and align the circumstances that made this possible.

To me this is bigger than Mr. 2, bigger than bongofleva/ hip hop.This is social commentary, this is the young people of Tanzania expressing anger and frustration from being yoked by the cabal of a few serf lords, and expressing that anger with no apology.

Is this the slow beginning of a docile populace waking up and fighting for that which is only rightfully theirs?

It remains to be seen, time will tell.
Bro' thanks for this fair and clear analysis, it couldnt have been done better!!!

Mr II raised an issue that most of us have tried to play dead or blind, and its even worse when our beloved president is so close to people who have no morals kama hawa. everyday i wonder how our system is so weak and blind that cant even warn or averse JK to deal with such immoral pact... they are strategic yes, but at the expense of their brothers and sisters

How can we help Sugu to deliver the same message but reach both sets of audiences?? simple, just have two versions of the project... but second move [which is more important and is for us all], lets support the move to uncover this tatizo

Clouds gurus think that they are invisible.. to me Gerrard and Ephraim are just executing their duties and they are small fishes to fry...

who can forget those days pale kilimanjaro, or seventh floor au pale mwenge ambapo they established a public sex buffet and until now the culture hasnt undergone any metamorphosis...

sasa juilize those are the people our leader take as models na kibaya zaidi wanatumika kama models kwa vijana
 
Mr. II a.k.a. hakika umefanya kazi! Lakini wewe mwenyewe mbona uko kwenye mkumbo huo huo? au ndio unajaribu kujihami kiaina? Jaribu kuendeleza kipaji chako kuliko kuchambua watu, au unachambua jihakikishe kwamba wewe ni safiii vinginevyo ni ile mithali inasema Nyani walichekana kwenye mbuga.
mkuu hebu clarify basi yupo kwenye mkumbo kivipi??
 
Nimeusikia huu mchano kwa masikitiko na siioni busara iliyotumika hapo kwa upande wa sugu. Kisheria hii imekaaje kama watampeleka mahakamani hatuoni kwamba atakuwa amejijengea ushahidi kwa kumnyonga mwenyewe? Wasiwasi wangu ni kwamba sakata hili likifuatiliwa naona kama itakula kwake.

mkuu, ndio maana kuna haja ya radio version na explicit version!!! ila ukae utambue kwamba kibonde kwa kiswahili cha mtaa ni mtu loser au asiye na maana so it might not be ephraim na pia clods ni mawingu... JUST A THOUGHT THOUGH
 
Back
Top Bottom