Antivirus MixTape: Sugu awachana Clouds FM

ZionTZ

JF-Expert Member
Oct 6, 2009
1,283
538
Naamini hapa ni nyumbani kwa watu wanaoaminika kwa kuchambua na kudadafua isues mbalimbali, em tuusikilize huu wimbo kama ulivyo then tuuchambue, je ni kitu gani kimetokea mpaka king wa hii fani ya rap akaamua kuwatungia wimbo?

Je yaliyomo huko ni kweli? Najua watu kama kina nguli wakali wa mistari watachangia ipasavyo...

halllah...




MR-II-PICS-742425.png
 
Last edited by a moderator:
Jamaa kaponda sana.
Ninao huo wembe kwenye wav format, nipe e mail address yako kwenye pm nikutumie.
 
Mkuu Zion... : Kuna movement sasa hivi inaitwa Antivirus, akina sugu na wenzake wengi ambao Media zimewafanyia vibaya wamejiunga na sasa wameshatoa Mixtape ya kwanza ambayo inagawanywa bure kabisa humo wamesema yoote ambayo wanahisi yalikua yamewakaa moyoni. Hii kitu inaenda mpaka ifike Volume 40.
 
Ukitaka kufungua copy hiyo link afu paste kwenye address part ya browser, lakini hakikisha umefungua tab mpya ili usipoteze page ya JF.
 
ipo poa sasa hivi, nangojea maoni yenu wakuu...nimesha edit...
 
naamini hapa ni nyumbani kwa watu wanaoaminika kwa kuchambua na kudadafua isues mbalimbali, em tuusikilize huu wimbo kama ulivyo then tuuchambue, je ni kitu gani kimetokea mpaka king wa hii fani ya rap akaamua kuwatungia wimbo?? je yaliyomo huko ni kweli?? najua watu kama kina nguli wakali wa mistari watachangia ipasavyo...halllah...




mkuu,hii ni kwasababu jamaa walimzunguka kwenye project ya MALARIA NO MORE......ishajadiliwa humu sana.......
 
Last edited by a moderator:
sawa kaka nimekulewa ilijadiliwa kabla au baada ya kuwatungia wimbo??? manake huu wimbo mi ndo nausikia leo man..au nimepitwa na matukio nini...???
 
sawa kaka nimekulewa ilijadiliwa kabla au baada ya kuwatungia wimbo??? manake huu wimbo mi ndo nausikia leo man..au nimepitwa na matukio nini...???

sijui wimbo wa lini.....kutokana na mistari ya wimbo...mstari unaotaja THT......inaonyesha umetungwa baada ya hio SAGA.....ilikuwa issue mkuu hadi mr pres. kahusishwa humo.....
 
Mkuu nimezisikia hizo nyimbo infact ziko nyingi na hizo CD wanazisambaza bure mtaani ili kuonyesha UFISADI wa akina RUGE ambao ni kweli kabisa laiti ungekuwa msanii ukaona mambo yenyewe yalivyo. Hasa dada zetu wanateswa sana na hawa jamaa watu wengine wana makampuni makubwa lakini wanapokea rushwa hata ya vocha ili wimbo upigwe redioni hata kama hauna maana yeyote utapewa air time ya kufa mtu.

Mr Sugu na wenzie wamefanya hivyo kwa sababu kugombana na Ruge unagombana na serikali & u know what that means
 
kuna mstari mmoja anasema hivi:

kibonde anatukana watu oyo
anasambaza ngoma mitaani........

Dah, sugu katapika ile mbaya.
 
duuuh kweli balaa, basi kama ndo hivyo manake ni kwamba ameamua kuliweka wazi ili wadau wengine tulisikie, so tht means alidhulumiwa na wamiliki wa clouds au serikali?

Ila maneno mengi aliyoyataja humo yanakaribia ukweli, mimi huwa sipendi zile isue za matusi wanazotangazaga as if ile redio inasikilizwa na wahuni tu, hizo zakuujipendekeza kwa chama cha siasa na zenyewe inaweza kuthibitika coz mata kibao tu rahisi rahisi hahahhahahah ila jamaa amepangilia mistari kinyama na hilo beat ndo balaa....
 
Back
Top Bottom