Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 56,542
- 93,146
Wakuu mwenye Anti virus naomba anisaidie maana ya kwangu ime expire na nilichogunduwa siku hizi kama hauna Licence ku update online ni mgogoro, au kwa yeyote mwenye mbadala, shida yangu ni Anti Virus.
Natanguliza shukrani zangu.
Natanguliza shukrani zangu.